Je, Kweli Fumigation ya Dar Ilikuwa ni agenda ya kusambaza ugonjwa wa Corona?

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,997
3,933
Ninakubaliana na Rais wa JMT juu ya uwezekano wa Face Mask kuwa contaminated ili kuumiza wengi. Hili linawezekana kirahisi sana kwa kutumia Face Mask pandikizi ndani ya zile Filter za Sugical Mask. And thank you Mr President for your attention.

Lakini, Barakoa zilizotolewa na Jack Ma ni katika mazingira madogo sana kuweza kuwa pandikizi. Barakoa hizo zimepitia hatua mbalimbali mpaka kufika TZ. Hata hivyo, TZ pia kuna Wizara ya Afya, TMDA, TBS, MSD na Mkemia Mkuu wa Serikali...taasisi hizi zipo kwa ajili ya kudhibiti ubora wa bidhaa.

Kutilia shaka hizo face mask ni kutilia shaka uwezo wa taasisi hizi. Ikiwa hizo Barakoa zilipita bila kukaguliwa uthibiti, basi taasisi hizo zijitafakari sana ikiwa ni pamoja na kutokukaa kimya; wanatakiwa kumjibu Rais na kuthibitisha kuwa hazina shida.

Otherwise, wakurugenzi wote wa taasisi hizo wasimamishwe kazi mpaka pale itakapothibitishwa kuwa zilikuwa salama.

Pili, ninaomba kwa heshima na taadhima kupendekeza tofauti juu ya kauli ya Rais dhidi ya Fumigation.

Ni kweli Inawezekana wajanja walitaka ku take advantage maana Corona nzima ni fursa na wengi wamepiga pesa sana tena sana.

Kifo chako ni fursa kwa mwenzio, kama hauamini nenda pale wanapouza masanduku ya kuzikia. Hata wao hulalamika kuwa wateja wamepungua sana nowadays. That is life and you just can’t Deny. Sad but true!

Fumigation, the idea itself was one of the best idea katika vita dhidi ya Corona Virus.

Chlorine( Sodium Dichloroisocyanurate) na Ethanol(-(OH) zote ni kwa ajili ya kuua micro organisms ( bacteria, virus etc etc).

Chlorine inaweza kuua broad spectrum micro organisms depending on the concentration of chlorine na contact time, hivyo hivyo kwa Alcohol.

Alcohol is more preferred than chlorine kwa sababu it takes only 10 secs for Ethanol to destroy micro organisms ( kama alcohol ikiwa na concentration ya 80% or so basi inaweza kuua kwa asilimia hadi 95.

Aidha, kwa upande wa chlorine, it takes up to 20 minutes tangu iwe applied kwenye sehemu husika ili kuua micro organisms na haya yote inategemea na concentration iliyotumika.

So the difference of time is what makes alcohol more preferable than chlorine, that is all it’s. Nothing else.

Lakini chlorine is more powerful than ethanol kwa sababu inauwezo wa kuua spores( microorganismes ambao ni dormant lakini wanaweza kuji activate wakipata mazingira) of which Alcohol can not do that.

Kwa muktadha huo, chlorine ikipuliziwa maeneo fulani na hilo eneo likakaa wet for atleast 10 minutes basi micro organisms wakiwemo Virus wa corona WANAKUFA completely.

Na kwa kutambua umuhimu wa chlorine, katika nchi za kiarabu ambazo wanaamini kuwa Ethanol ni Haramu; basi preferred hand rubs zao ni chlorine based and not alcohol based.

Only in Tanzania that Chlorine can be used to spread the virus. Only in Tanzania that chlorine can not kill micro organisms including Virus. Only in Tanzania that Chlorine is for killing Mende and Virobo.

If chlorine is for mende and viroboto, why do we use it to disinfect drinking water?

I am writing this as a Chemist and Biologist not to mention my knowledge on mathematics and pharmaceuticals.

Aidha, suali kwamba ikiwa Fumigation inaua corona why huko ulaya wanakufaa na Corona ?
Hili suali ni sawa na kuuliza ;

kama kweli dawa za malaria zinatibu malaria kwanini kuna vifo vya Malaria? Can anyone answer such a question?

Au, kwanini madaktari wanakufa na Corona wakati they have all means to protect themselves. They have gowns, goggles , N95, Gloves, Sanitizer Alcohol based or Sanitizer Chlorine based and yet they are infected to death. Can you answer such a question?

Kwamba, Fumigations ilikuwa ni mpango wa kusambaza ugonjwa; how could that be possible while Corona Virus cannot live in Chlorine for more that 10 minutes, na kwakuwa the Virus is more contagious, basi hata huyo mpulizaji Must be very mad and stupid kwa sababu ataathirika pia. Unless kilichokuwa kina pulizwa sio Chlorine, it was water that was contaminated, hili Wizara ya Afya ilitoleee majibu kwa sababu amri ilitoka kwao.

As a technical personnel, Napenda kusema kwamba Chlorine is safe for Fumigation and it can Kill corona Virus including other micro organisms by far depending on the concentration and contact time.

It is safe to fumigate only and if we have resources to do so.

Asante sana, kwa heshima na taadhima.

Mk54
 
MARAIS WOTE WA AFRICA WANASEMA CHINA NI MARAFIKI ZAO SASA LEO WANAKATAA NINI ?KWAMBA NCHI ZA ULAYA NDIO MABEBERU/WANYONYAJI HAWAFAI
 
Mk54 mbona unaguna ndio ukweli wenyewe baba yako Mzee Mugabe alipowekewa vikwazo na Ulaya ,akajisemea JAMANI BAKULI LANGU NAMPELEKEA MCHINA leo wanakataa hivyo vitambaa mbona hawaeleweki? Kuna nchi flani wakati wa kampeni utaona wanaita wachina kufanya kampeni ,utasikia hawa ni rafiki zetu toka wakati wa MAO
 
Mkuu hebu nisaidie hapa, Trump amevamiwa kutoka kila kona ya dunia kwa suggestion yake ya kutumia disinfectant kutibu corona, je, amekosea kwa kiasi gani?
 
Mkuu hebu nisaidie hapa, Trump amevamiwa kutoka kila kona ya dunia kwa suggestion yake ya kutumia disinfectant kutibu corona, je, amekosea kwa kiasi gani?


You cannot inject disinfectant in the body.

Kwa mfano: the recommended alcohol concentration by WHO to kill Corona Virus is 80% or so. For external use.

The same concentration of 80% ukimu inject mtu utamuua. It does not work that way.

Au concentration ya Chlorine to destroy hao virus ni above 0.2 ; uki apply that inside the body, you kill the person in a very few secs.

Simple and clear.


Mk54
 
Kama tu watu waliweza kupuliza dawa na ingekuwa sumu inamaana tungepepea wengi kwenye vile vituo vya mwendokasi na kote waliko puliza.
Hizo Barakoa zimeingiaje Nchini?Zimepitia wapi?

Tuache kuchekeshana mchana kweupe bwana weee.
 
You cannot inject disinfectant in the body.

Kwa mfano: the recommended alcohol concentration by WHO to kill Corona Virus is 80% or so. For external use.

The same concentration of 80% ukimu inject mtu utamuua. It does not work that way.

Au concentration ya Chlorine to destroy hao virus ni above 0.2 ; uki apply that inside the body, you kill the person in a very few secs.

Simple and clear.


Mk54

Sasa mkuu, yeyey si alikuwa akiwauliza madaktari kama wanaweza kuchunguza namna disinfectant zinavyofanya kazi na kuona kama wanaweza kutumia something like that? Mbona chlorine umeitaja na inawekwa kwenye maji ya kunywa?
 
Kama tu watu waliweza kupuliza dawa na ingekuwa sumu inamaana tungepepea wengi kwenye vile vituo vya mwendokasi na kote waliko puliza.
Hizo Barakoa zimeingiaje Nchini?Zimepitia wapi?

Tuache kuchekeshana mchana kweupe bwana weee.

It doesn’t make any sense


Mk54
 
Sasa mkuu, yeyey si alikuwa akiwauliza madaktari kama wanaweza kuchunguza namna disinfectant zinavyofanya kazi na kuona kama wanaweza kutumia something like that? Mbona chlorine umeitaja na inawekwa kwenye maji ya kunywa?

At a very very low concentration that doesn’t affect your organs.Only to kill microbes.

And yes he was just trying to understand and there is nothing wrong with that.


Mk54
 
Back
Top Bottom