Je kwanini mwenyezi Mungu kaagiza warabu wauwawe na wawe wa kutanga tanga? bible inasema nini?

Leo nilikuwa naangalia kumbu kumbu ya Holocaust Nazis waliua sana waisrael ndugu zao wakristo cha ajabu huwezi kukuta muisrael wa bongo aka mkristo akiwalaumu wajerumani wakristo wenzao kwa mauaji yale ila wanawalaumu waarabu tu

Sent using Jamii Forums mobile app


Mtu mweusi/mkristo ataendelea kuchukia waarabu mpaka Kiama kitapowadia ila wachache tu wanaojitambua,,hili linatokana na kukaririshwa na wazungu makafiri/mabwana wao kuwa "waarabu ndio waliotesa mababu zetu". So ukiona mweusi mwenzetu akiwaponda/chukia waarabu na kuwasifu/penda mabeberu basi kaa utafakari mara mbili mbili juu ya hilo.

Watu weusi Akili zetu tunazijuwa wenyewe, chochote atachokiongea mzungu kafiri tutaamini, ndivyo akili zetu zinavyoamini upuuzi huu.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom