Je, kwanini Mihimili hii ya nchi imekuwa na muda tofauti wa kutumia teknolojia kufikia wananchi?

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
669
Haya wadau, Ikulu ambayo ni serikali kuu imejiunga Youtube Desemba 22, 2012 wakati Bunge TV imejiunga Youtube Mei 12, 2017. Wakati huo tunapaswa kujua Bunge ndilo linawasemea wananchi hivyo tunapaswa kujua wanasema nini lakini tofauti ya wao kujiunga ni miaka mitano.

Aidha kwenye upande wa subscribers Ikulu Mawasiliano ina Subscribers 179k wakati bunge lina 8.87k hata views zimetofutiana. Data hizo nimezisoma leo Februari 3, 2022.

Swali ni Je kwa nini mihimili hii ya serikali imekuwa na muda tofauti wa kutumia teknolojia kufikia wananchi?

Signed

OEDIPUS
 
Nadhani kwa sababu ya kuhofia kudukuliwa, au ^key-two^ kama hiko. Si unajua tena mambo ya ^meet-and-now^ ya ^key-jam-me^ inavyoitesa ulimwengu pamoja na kuwa na manufaa mengi kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni na kimaendeleo?
 
Back
Top Bottom