Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 232
- 136
JE KWANINI DR KIGWANGALAH ANAJIONA NI SPECIAL ONE KWENYE WIZARA YAKE KULIKO WENGINE
By Mwanakijiji Lugusi
Lazima tukubali tu kuwa Baadh ya mawaziri Serikali hii ya awamu ya tano imejaa viongozi wa matamko tu na ndo maana mh JPM huwatumbuliaga MAJUKWAAN
WENGI tumeona hawana upeo wa uongozi..mifano mizuri ni hawa wanaojiita akina mnyeti na wengne Wa karibu yake wanaoongozwa na mihemko ya kumfurahisha boss badala ya kujikita kutatua changamoto zinaziwakabili wananchi
Sasa nijikite kwenye hoja yangu juu ya Huyu anayeitwa Kigwangala hakika hakuna waziri ambaye anakurupuka kama kigwangala yaan inafikia kipindi amelaumiwa mpaka na Wabunge wenzake wa CCM kwa mambo ya hovyo anayoyafanya kwenye Wizara ya Maliasili na Utalii.
Na si kwamba hawa wabunge wana chuki nae hapana bali utendaji wa kazi mbovu wa Kigwangala.
Kigwangala ameshafikia hatua ya kugombana na Waziri wa Nyumba na Makazi Mhe. Lukuvi kuhusu viwanja vya Wizara yake kuingiliwa na watu wa Ardhi.
Lakin mh Lukuvi alisema hana taarifa na mgogoro huo wala hajaambiwa na Kigwa zaidi ya kumsikia akibwabwaja Bungeni na kwenye media.
Tunachoongelea hapa ni UTAWALA BORA na si bora Utawala. Hivi Kigwangalla anaposhambulia Wabunge wenzake au waliopitia Wizara hiyo au Wabunge wa Upinzani hasa mchungaji MSIGWA kwa kudai kuwa wana hisa kwenye Makampuni ya Uwindaji ilhali hana USHAHIDI kwake ni sawa?