Je kwani watanzania ni lazima tukihitimu elimu zetu tuajiriwe na serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kwani watanzania ni lazima tukihitimu elimu zetu tuajiriwe na serikali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BUMIJA, Nov 18, 2011.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Ni kua watanzania wengi na nikiwemo mtazamo wetu ni kua ajira zinapatikana serikalini ama taasisi fulani,sasa je hatuwezi kuwaza kujiajiri wenyewe,na kama haiwezekani unadhani elimu uliyopata ina ujuzi wa wewe kuajiriwa na si kujiajiri mwenyewe,na kama wanaoajiri wakigoma tusubirie wakiajiri tena ama basi hakuna mbinu mbadala ya kujiajiri
   
 2. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Kama wewe una mawazo hayo nakupa pole!
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Pole yako we unaewaza kuajiriwa tena na serikali.
   
Loading...