SEGUZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 280
- 196
Wakuu,
Nimeguswa na tukio la Kagera sukari kunyanganywa points 3, baada ya kumchezesha mchezaji wao aliekuwa na kadi tatu za njano, ninacho taka kujua mimi ni kama kwenye vilabu vya nchi za wenzetunako uzembe huo wa viongozi kupanga wachezaji wanaojua kuwa wana makosa na kupelekea tiu kunyang'anywa points.