Niwemugizi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 902
- 462
Naomba wadau tujadili kwa kina kwa nini Rwanda isiondolewe kwenye jumuia ya Afrika Mashariki, Rais Kagame dunia nzima inajua kuwa yeye ndo analeta chokochoko kule DRC, dunia nzima inajua yeye ndo aliesababisha mauaji ya kimbarai ya Rwanda ya mwaka 1994 baada ya kutungua ndege ya marehemu Rais Juvenary Habyarimana wa Rwanda, na kama haitoshi aliwafuata wakimbizi wa kihutu karibia million mbili wote akawaangamiza kwenye makambi yao kule mashariki mwa DRC mwaka 1997 wakati anamsaidia Laurent Desire Kabila kuingia madarakani kule DRC but all in all jumuia nzima haioni hili inazidi kumfmbia macho tu. Imagine SADC nzima kukaa Dar kujadili DRC simply because of Rwanda ya Kagame. Who is Kagame and why all leaders are afraiding of him? It is high time now we remove Rwanda from East African Community because the earlier the better