Je kwa vitendo Rwanda inavofanya DRC iondolewe kwenye jumuia ya Afrika Mashariki?

Niwemugizi

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
902
462
Naomba wadau tujadili kwa kina kwa nini Rwanda isiondolewe kwenye jumuia ya Afrika Mashariki, Rais Kagame dunia nzima inajua kuwa yeye ndo analeta chokochoko kule DRC, dunia nzima inajua yeye ndo aliesababisha mauaji ya kimbarai ya Rwanda ya mwaka 1994 baada ya kutungua ndege ya marehemu Rais Juvenary Habyarimana wa Rwanda, na kama haitoshi aliwafuata wakimbizi wa kihutu karibia million mbili wote akawaangamiza kwenye makambi yao kule mashariki mwa DRC mwaka 1997 wakati anamsaidia Laurent Desire Kabila kuingia madarakani kule DRC but all in all jumuia nzima haioni hili inazidi kumfmbia macho tu. Imagine SADC nzima kukaa Dar kujadili DRC simply because of Rwanda ya Kagame. Who is Kagame and why all leaders are afraiding of him? It is high time now we remove Rwanda from East African Community because the earlier the better
 
Mimi nachojua charity begin at home kwa hiyo kama tukiitenga Rwanda kwenye jumuia yetu then hata mataifa ya nje yatagutuka kuwa hatutaki masihala then nao wataect.Otherwise kwa kukaa kimya kwetu Rwanda itatufanya kitu mbaya sana na tutaharibu image yetu kimataifa just take it or leave it but that is my story and I will stick on it
 
Naomba wadau tujadili kwa kina kwa nini Rwanda isiondolewe kwenye jumuia ya Afrika Mashariki, Rais Kagame dunia nzima inajua kuwa yeye ndo analeta chokochoko kule DRC, dunia nzima inajua yeye ndo aliesababisha mauaji ya kimbarai ya Rwanda ya mwaka 1994 baada ya kutungua ndege ya marehemu Rais Juvenary Habyarimana wa Rwanda, na kama haitoshi aliwafuata wakimbizi wa kihutu karibia million mbili wote akawaangamiza kwenye makambi yao kule mashariki mwa DRC mwaka 1997 wakati anamsaidia Laurent Desire Kabila kuingia madarakani kule DRC but all in all jumuia nzima haioni hili inazidi kumfmbia macho tu. Imagine SADC nzima kukaa Dar kujadili DRC simply because of Rwanda ya Kagame. Who is Kagame and why all leaders are afraiding of him? It is high time now we remove Rwanda from East African Community because the earlier the better

it is allegation, hata km unataka ku clear the region then what about M7 ?! Nae aondolewe ?
 
kabla hatuja iondoa rwanda tujue kwamba kabila (baba) alifunzwa mbinu zote za kijeshi tz,mu7 alifunzwa na alisaidiwa na tz,kagame alifunzwa tz kwa hiyo tuanze kuifungia tz kwanza
 
Hapo ndipo tutambue kwamba mchakato wa haraka wa kuanzisha/kupanua jumuiya ya Afrika Mashariki haukuwa makini . Kwanza kuna tofauti kubwa kati ya malengo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ya nchi au serikali zetu. Kagame na M7 wamedhamiria kubadili kabisa jeografia ya kisiasa ya ukanda huu. Njama ya kuigawa Kongo na kuanzisha Jamhuri ya Kivu itakuwa na athari kubwa za kivita , kisiasa na kijamii kwa ukanda huu. Itasababisha vita kubwa ambayo itazihusisha nchi zote za SADC na pia kuchochea uhasama wa kikabila katika nchi ya Kongo, Rwanda, Burundi na Uganda. Vita hiyo itavutia mataifa ya nje kutokana na maliasili za ukanda huu na pia soko la silaha. Kuibuka kwa jamhuri ya Kivu kutazaa mfumo mpya wa uhusiano wa kisiasa ambapo jumuiya ya Afrika Mashariki yaitakuwa mali tena ila Jumuiya ya maziwa makuu ikihusisha nchi tatu au nne tu -Rwanda , Kivu, Uganda na huenda Burundi. Hali hii itaathiri usalama na mstakabali wa Tanzania na hata nchi zingine katika ukanda huu zilizopo nje ya njama hii ikiwemo Kongo. SADC haina budi hukakikisha kuwa njama hii haifanikiwi. Hatua ya kwanza kwa SADC ni kukemea njama hiyo na kutoa onyoo kali kwa nchi yoyote itakayothubutu kuhujumu usalama wa nchi yoyote mwanachama wa SADC. Hatua ya pili ni kupanua Standing Brigade ya SADC kuwa jeshi kamili! Hii ndiyo lugha hawa jamaa wawili wataelewa. Hatua ya tatu ni kuimarisha SADC, ikiwemo Kongo kiuchumi ili iweze kusimamia vizuri maliasili zake na kuboresha miundo mbinu, kilimo,viwanda, ajira, nishati nk . Jamhuri ya Kivu ikianzishwa kamwe ukanda huu hautakuwa salama tena kwani utanzishwa muungano wa mataifa matatu au manne wenye itikadi moja ya kikabila, kijeshi,uroho wa maliasili na imani kwamba wao ni bora kuliko wengine.
 
War of interest sioni cha ajabu... Mbona Nyerere aliua watz kibao na bado akawa hero Itajakua mrwanda kuua mkongo kwa maslahi ya taifa sioni tabu iba njee leta ndani sio Kama akina boys 2man wanaiba ndani wanapelekeka njee. Kill em all mu7
 
sasa ndo umebandika nin hapa? hutakiwi kuiba popote na kupeleka popote. hakuna wizi mzur
 
nchi yoyote inayoingilia nch ingine kijesh itengwe unless kama uamuz huo umekubaliwa na eac nzima hata kama si nch wanachama wote wataingia kwenye hyo vta. kwasasa ni kama tunaisaidia rwanda kuwahujumu wacongo.
 
hata hvo matatzo ya congo ni makubwa kama ilivyo nchi yenyewe na ni mengi kama ilivyo na utajir wa asili mwingi. kuna mikono ya makampun na nch kibwena. rwanda inajiongeza nayo kuongeza matatzo ya congo. kuna sehem kuna m2 aliandika THE WHITEMAN HAS FU....D THE CONGO TOOO DEEP THEY CANT GET OUT IT. tuihurumie congo
 
hakuna ubishi kwamba Rwanda wamesapoti waasi congo, lakini hata kama ningekuwa mimi ningeingia congo tu kama ningekuwa ndo rwanda. SABABU KUBWA INAYOFANYA KAGAME AINGIE KULE NI WAHUTU/BANYAMULENGE ambao walifanya genocide kipindi kile wakakimbia kama wanajeshi, wanatafutwa na rwanda na jumuiya ya kimataifa, na wanaogopa kuingia kwenye nchi yeyote ile wasijekamatwa, hivyo wanachofanya ni kujiorganise wakiwa congo ili siku moja waje waipindue serikali ya kagame. pale kagame yupo kwenye self defence, ila macho mengi ya watu wanaona kama anafaidi dhahabu kumbe hapana, akizembea kidogo tu watamtoa madarakani kwa mtutu. hilo ndilo linalofanya aone tishio na kuwasapoti waasi wanaopigana kinyume na serikali na hao banyamulenge. serikali ya congo inalijua hilo na inawezekana inawatumia banyamulenge against rwanda. don't judge one side of the coin, angalia pande zote mbili.

ungekuwa rais ungefanyaje? ungeacha waasi waje wakutoa madarakani? na wanapokutoa unafikiri hawatakulipua risasi? unafikiri anapenda kufa?..ndio maana aliwasapoti kina Nkunda na akampa makazi, kwasababu yeye alikuwa kibaraka wake kulinda watusti walioko kule congo ambao bado wako pursued na waasi wa kihutu walioko congo wanataka kuwamalizia kwa kuwachinja wote. kuna watusi congo ambao wahutu waliokimbilia kule congo wanatafuta naman ya kuwauwa wote, na Nkunda alikuwa kiongozi wa kulinda watusi ndo maana kagame alikuwa upande wake. pia hao wahutu walioko congo wameshafanya majaribio mengi tu ya siri ya kujaribu kuipindua serikali ya kagame.
 
Naomba wadau tujadili kwa kina kwa nini Rwanda isiondolewe kwenye jumuia ya Afrika Mashariki, Rais Kagame dunia nzima inajua kuwa yeye ndo analeta chokochoko kule DRC, dunia nzima inajua yeye ndo aliesababisha mauaji ya kimbarai ya Rwanda ya mwaka 1994 baada ya kutungua ndege ya marehemu Rais Juvenary Habyarimana wa Rwanda, na kama haitoshi aliwafuata wakimbizi wa kihutu karibia million mbili wote akawaangamiza kwenye makambi yao kule mashariki mwa DRC mwaka 1997 wakati anamsaidia Laurent Desire Kabila kuingia madarakani kule DRC but all in all jumuia nzima haioni hili inazidi kumfmbia macho tu. Imagine SADC nzima kukaa Dar kujadili DRC simply because of Rwanda ya Kagame. Who is Kagame and why all leaders are afraiding of him? It is high time now we remove Rwanda from East African Community because the earlier the better

Mkuu that's a million dollar question, we fikilia wazungu waliwakalia wazungu wezao kooni i.e ma General wa former Yugoslavia (vita vya Balkans) wakawasaka kwa udi na uvumba mpaka wakatiwa mbaroni na kuburuzwa the Hague kijibu WAR CRIMES wengi wa majenerali hao wala hawakuhusika moja kwa moja na mauaji lakini hilo aliku-save their SKIN, kwani suala la Kagame lina tofauti gani? Binafsi hua nashangaa sana; actually nafikili utu aliotumia Mzee Mkapa kukatalia nchi za Zimbabwe/Angola kufungua another war front kutoka Tanzania ili kumkabiri Kagame lime wa-cost raia wa DRC na wakimbizi wa Kihutu walio kimbilia DRC, huluma za Mzee Mkapa ndio zilimfanya jamaa huyu kuendeleza mauaji yake mpaka sasa! Angewaruhusu Suala la jamaa huyu lingemalizwa mapema sana hivyo ku-save maisha ya watu wengi wanao angamia hivi sasa kutokana na adventure zake zinazo fanana na operation Babarosa during the second World WAR!

Nimesikia sasa hivi Rais wa Merikani Barak Obama akimpa onyo kali Kagame, sasa sijuhi kama ata take HEED au ataendeleza ubabe wake wa kulahumu kila mtu hisipo kuwa yeye mwenyewe, nataka nieleweke kwamba mimi sina bifu na Kagame kama binadamu nisichopenda ni matendo yake ya kikatili na kukosa Ubinadamu.
 
--- the hague, inamsubiri....

Soon utasikia anatafutwa.... US is watching him closely...!!
 
Naomba wadau tujadili kwa kina kwa nini Rwanda isiondolewe kwenye jumuia ya Afrika Mashariki, Rais Kagame dunia nzima inajua kuwa yeye ndo analeta chokochoko kule DRC, dunia nzima inajua yeye ndo aliesababisha mauaji ya kimbarai ya Rwanda ya mwaka 1994 baada ya kutungua ndege ya marehemu Rais Juvenary Habyarimana wa Rwanda, na kama haitoshi aliwafuata wakimbizi wa kihutu karibia million mbili wote akawaangamiza kwenye makambi yao kule mashariki mwa DRC mwaka 1997 wakati anamsaidia Laurent Desire Kabila kuingia madarakani kule DRC but all in all jumuia nzima haioni hili inazidi kumfmbia macho tu. Imagine SADC nzima kukaa Dar kujadili DRC simply because of Rwanda ya Kagame. Who is Kagame and why all leaders are afraiding of him? It is high time now we remove Rwanda from East African Community because the earlier the better

...the only thing kitakachongezeka ni more business btn Rwanda and all EA countries,people with brain will cooperate and do more business with Kigali they know Kagame does make sense,as off now billions zinamwagika kigali everyday as investments sio misaada kama mlivyozoea because they know investment zao will be safe with big returns,hizo nyingine ni politics tuu ambazo zinajulikana zinatoka wapi,hata madaktari na proffesors wa TZ sasa hawaendi tena South wengi wako Kigali...wewe keep up with your propaganda zilizoleta genocide ,watu wanataka safety,jobs,good education for their children,health care etc ukienda na hizo story zako za hutu/tutsi Kigali wananchi watakuponda na mawe
 
Hapo ndipo tutambue kwamba mchakato wa haraka wa kuanzisha/kupanua jumuiya ya Afrika Mashariki haukuwa makini . Kwanza kuna tofauti kubwa kati ya malengo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ya nchi au serikali zetu. Kagame na M7 wamedhamiria kubadili kabisa jeografia ya kisiasa ya ukanda huu. Njama ya kuigawa Kongo na kuanzisha Jamhuri ya Kivu itakuwa na athari kubwa za kivita , kisiasa na kijamii kwa ukanda huu. Itasababisha vita kubwa ambayo itazihusisha nchi zote za SADC na pia kuchochea uhasama wa kikabila katika nchi ya Kongo, Rwanda, Burundi na Uganda. Vita hiyo itavutia mataifa ya nje kutokana na maliasili za ukanda huu na pia soko la silaha. Kuibuka kwa jamhuri ya Kivu kutazaa mfumo mpya wa uhusiano wa kisiasa ambapo jumuiya ya Afrika Mashariki yaitakuwa mali tena ila Jumuiya ya maziwa makuu ikihusisha nchi tatu au nne tu -Rwanda , Kivu, Uganda na huenda Burundi. Hali hii itaathiri usalama na mstakabali wa Tanzania na hata nchi zingine katika ukanda huu zilizopo nje ya njama hii ikiwemo Kongo. SADC haina budi hukakikisha kuwa njama hii haifanikiwi. Hatua ya kwanza kwa SADC ni kukemea njama hiyo na kutoa onyoo kali kwa nchi yoyote itakayothubutu kuhujumu usalama wa nchi yoyote mwanachama wa SADC. Hatua ya pili ni kupanua Standing Brigade ya SADC kuwa jeshi kamili! Hii ndiyo lugha hawa jamaa wawili wataelewa. Hatua ya tatu ni kuimarisha SADC, ikiwemo Kongo kiuchumi ili iweze kusimamia vizuri maliasili zake na kuboresha miundo mbinu, kilimo,viwanda, ajira, nishati nk . Jamhuri ya Kivu ikianzishwa kamwe ukanda huu hautakuwa salama tena kwani utanzishwa muungano wa mataifa matatu au manne wenye itikadi moja ya kikabila, kijeshi,uroho wa maliasili na imani kwamba wao ni bora kuliko wengine.

Splendid indeed mkuu, SADC iwape kibano wakina M7 na Kagame ili mipango yao ya kihimla hisifanikiwe, wakihachiwa hivi hivi watakuja kusababisha maafa Africa ya kati na Mashariki specifically nchi zilizo pakana na Rwanda/Uganda.
 
hakuna ubishi kwamba Rwanda wamesapoti waasi congo, lakini hata kama ningekuwa mimi ningeingia congo tu kama ningekuwa ndo rwanda. SABABU KUBWA INAYOFANYA KAGAME AINGIE KULE NI WAHUTU/BANYAMULENGE ambao walifanya genocide kipindi kile wakakimbia kama wanajeshi, wanatafutwa na rwanda na jumuiya ya kimataifa, na wanaogopa kuingia kwenye nchi yeyote ile wasijekamatwa, hivyo wanachofanya ni kujiorganise wakiwa congo ili siku moja waje waipindue serikali ya kagame. pale kagame yupo kwenye self defence, ila macho mengi ya watu wanaona kama anafaidi dhahabu kumbe hapana, akizembea kidogo tu watamtoa madarakani kwa mtutu. hilo ndilo linalofanya aone tishio na kuwasapoti waasi wanaopigana kinyume na serikali na hao banyamulenge. serikali ya congo inalijua hilo na inawezekana inawatumia banyamulenge against rwanda. don't judge one side of the coin, angalia pande zote mbili.

ungekuwa rais ungefanyaje? ungeacha waasi waje wakutoa madarakani? na wanapokutoa unafikiri hawatakulipua risasi? unafikiri anapenda kufa?..ndio maana aliwasapoti kina Nkunda na akampa makazi, kwasababu yeye alikuwa kibaraka wake kulinda watusti walioko kule congo ambao bado wako pursued na waasi wa kihutu walioko congo wanataka kuwamalizia kwa kuwachinja wote. kuna watusi congo ambao wahutu waliokimbilia kule congo wanatafuta naman ya kuwauwa wote, na Nkunda alikuwa kiongozi wa kulinda watusi ndo maana kagame alikuwa upande wake. pia hao wahutu walioko congo wameshafanya majaribio mengi tu ya siri ya kujaribu kuipindua serikali ya kagame.
Kwa hiyo unamaanisha kwamba hata akina Kagame walivokimbilia Uganda mwaka 1959 rais Habyarimana ilitakiwa awafuate Uganda awaangamize ili kuwa kwenye safe side? To me you are talking rubbish and my my apology to say so
 
Back
Top Bottom