Je kwa vipi peoples power Africa ya weusi haitafanikiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kwa vipi peoples power Africa ya weusi haitafanikiwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magulumangu, Feb 15, 2011.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani kila siku hasa hapa kwetu Tz tunaimba peoples power itamung'oa Mkwere kitini tuangalie mambo kadhaa ambayo yatasababisha either hilo kutofanikiwa...

  ....kwanza kabisa media, media zote tanzania kwa ujumla ni fake, nasema fake kwa sababu zinajikosha kwa viongozi either hukwepa kodi au kutaka msamaha wa kodi, kumbukeni mengi alipowashikia mafisadi kidedea, yaliishia wapi? Za panya sakafuni huitwa maana mafisadi wanajua kajifichia wapi na watamtuliza vipi, bila media kugangamala hakuna revolution hata siku moja...
  ......pili kila kiongozi ana ufisadi wake na mafisadi wanaujua kabisaaaaa, sasa hebu nambie nani atasimama kidedea kumnyoa kuku wakati yeye pia anahitaji kunyolewa?I mean nani atajitoa kafara?
  ....Wafanya biashara wengi ni wezi na wakwepa kodi wakubwa ambao wanaweza kidogo kushawishi mageuzi kwa kusponsor mambo fulani bila hivyo ni kutwanga maji kinuni...
  .....mataifa ya nje pia hunufaika pindi ugomvi unapotokea kwetu, sio yote lkn mengi maana hupata fursa ya kuuza bidhaa zao au exchange withh madinis, mandugu mmeona huko Misri, BBC, CNN, Al jazeera zilihamia huko, lkn ikitokea bongo media zetu ambazo ndo zinatakiwa kuwavuta hawa jamaa zinakumbatia kwa kusema eti waliokufa 10 badala ya 100 then nani atakuja kuuopen ulimwengu ambapo wenyewe wanaficha? walipokufa ndugu zetu Arusha sikuona BBC na CNN au al jazeera wamepewa hizo taarifa than hao sijui TBC,ITV, Clouds kukumbatia na kuonyesha ushenzi mtupu...
  ...........Hakuna kiongozi duniani asieogopa BBC au CNN kumuopen up his or her ass lkn wasipopata support toka kwa wazawa medias hakuna kitu, wawakilishi wote BBC na CNN bongo ni mafisadi toka CCM tegemea nini?
  ......la mwisho watz waoga hata siku moja maneno ndo yetu, ngoja ooohhh nguvu ya umma lkn hamna lolote njaa tu ukitulizwa na za mafisadi utaona tunaanzisha tawi eti la CCM Holland, tawi la CCM UK, wana CCM USA hizo zote njaaa tuu hamna lolote....
  ........Hakuna mtu hata mmoja anaeweza kuthubutu TZ ila kusema ooohhh kila mtu anaweza bwana lkn akipewa cheque huyo analala mbele sasa tegemea nini hapo?
  Tukibadilika mbona tz tunaweza maana wote tunaongea lugha moja, umoja tunao kweli kweli na tunaheshimiana hivyo kuweza fanya kitu kwa pamoja ni simple na inawezekana maana hatuna UKABILA ingawa UDINI upo lkn sio sana....


  Nawakilisha tu jamani
   
 2. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu Magulumangu, Thanks for your good letter, referring to Africa, Harold Macmillan said in early 1960: 'There is a wind of change blowing through this continent'. Little did he know that almost 50 years later this same wind would be blowing across the Middle East. My guess is that this wind is going to gather momentum and start blowing across Africa including Tanganyika and all over again. It will be good to see all the little despots wondering whether they will soon be blown away by people power.
   
Loading...