Je, kwa mujibu wa Msemaji mkuu wa serikali Makonda na Foreign affairs wako sahihi bali Dr Kigwangalla ndiye aliyekosea!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,870
Msemaji mkuu wa serikali amesema maswala ya kitaifa husemwa na yeye, yale ya kisekta husemwa na mawaziri na yale ya maeneo ya kiutawala husemwa na wakuu wa maeneo yao kwa mujibu wa sheria. Ndiposa nimegundua Makonda aliusemea mkoa wa Dsm, na wizara ilikuwa inawataarifu wageni wetu wakiwemo watalii. Sasa Dr Kigwangala alimaanisha kuwazuia machoko gani pale airport wale wanaokuja kwa bombadia au KLM, nauliza tu waungwana!
 
Dodoki la Makonda liko kazini!
Inamaana waziri wa mambo ya nje alikuwa anawaambia wageni wasipitie mkoa wa Makonda kuja nchini?Kwamba hilo suala ni la Mkoa wa DSM hivyo wasipitie Dar kama ni mashoga!!!!!

Taarifa ya wizara mambo ya nje ilisema "kwa niaba ya serikali ya JMT"!!!So hapa waziri ana baraka zote za JMT katiko tamko lake!Hapo inamaana hata rais ambaye ni mwwnyekiti wa baraza la mawaziri amebariki taarifa hiyo!!!!
Konda kachemka,Case closed!
 
Sasa kwanini wizara ya mambo ya nchi za nje imkane Makonda kama hakukosea?

Kigwangwala ni muhuni tu na alitoa kauli ya kihuni, hivyo hakuna sababu ya kujadili uhuni.
 
Huyu nae angenyamaza tuu.. Ngoma hii ilishakuwa handled vibaya tokea mwanzoni.. Kama anasema Makonda yuko sahihi, mbona Foreign affairs wako busy sasa kufanya damage control..?
 
November 5, 2018
Dar es Salaam, Tanzania
Maswali kwa serikali kuhusu falsafa ya uongozi endelevu wa serikali na Sababu za serikali kutounga mkono kampeni ya mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda: - Dr. Abbas msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania anaeleza :
 
Nauliza kama mtu anaweza kukataa kupimwa mkojo na asilazimishwe na sheria, anaweza kulazimishwa kupimwa mkund.. kwa lazima? Na hata wakimpima wakakuta no marinda nae akasema ndivyo alivyo umbwa wanamchukulia hatua za kisheria pi? Hizi muvi za konda ni za ajabu tu.
 
Hahahaa....... kwani kuna toleo jipya?!!......sidhani kama dudu anatumwa zaidi ya kiherehere chake tu!
Konkii konki konki master,Mamba,Oil chafu Dubu mkojo wa nyigu.... anasema kuna list ya 3!Anasubiri go ahead aachie!!!!
Ndio maana nakuuliza,Msemaji wa serikali katoa ruksa tumshtue Konki!!!
 
Nauliza kama mtu anaweza kukataa kupimwa mkojo na asilazimishwe na sheria, anaweza kulazimishwa kupimwa mkund.. kwa lazima? Na hata wakimpima wakakuta no ******* nae akasema ndivyo alivyo umbwa wanamchukulia hatua za kisheria pi? Hizi muvi za konda ni za ajabu tu.
Kwa wenzetu mpaka upate kibali cha mahakama ndio uweze kumpima mtu,else akubali kwa hiyari yake!
 
Kwa wenzetu mpaka upate kibali cha mahakama ndio uweze kumpima mtu,else akubali kwa hiyari yake!
Na akipimwa wakute kasoro nae azikane inakuwaje? Anaweza sema ni maumbile yake hajui chochote
 
Msemaji mkuu wa serikali amesema maswala ya kitaifa husemwa na yeye, yale ya kisekta husemwa na mawaziri na yale ya maeneo ya kiutawala husemwa na wakuu wa maeneo yao kwa mujibu wa sheria. Ndiposa nimegundua Makonda aliusemea mkoa wa Dsm, na wizara ilikuwa inawataarifu wageni wetu wakiwemo watalii. Sasa Dr Kigwangala alimaanisha kuwazuia machoko gani pale airport wale wanaokuja kwa bombadia au KLM, nauliza tu waungwana!
Tatizo ni ccm, tusipotezeane muda.
 
Back
Top Bottom