Je, kwa Mazingira ya sasa vitendo vya Kihuni vinavyofanywa na Joseph Mbilinyi (Sugu) vinakubalika?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.

Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.

Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.

Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.

Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20

Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.

Huku kwenye ubunge tuache tu yafanyike yanayofanyika. Sidhani kama karatasi imewahi kuamua hatma ya nchi, na sijaona kama nje ya sistimu kama kuna mtu sahihi...tupendane, tupeane hizo ajira kwa nafasi, mjengoni kupi kumewahi kuipinga Eksekativu na mjengo ukashinda?

Vunja mjengo, 360 X 11mil × 5= 47,520,000,000

Hapo kila mwaka tunajenga km 48 za barabara kwa kiwango cha lami kwa upigaji wa enzi za Jei Kei, ni mara mia afadhali kuliko kuwalipa wa mjengoni, achilia mbali 290,000,00 kwa wote kila faivu iazi ya kukaa mjengoni
 
Tatizo Sugu presha juu anamuhofia sana Tulia😆😆😆😆 safari hii jasho litamtoka
 
Hivi yule OCS hajajisikia vibaya maana toka Sugu anaingia na watu wake yeye joto lilikuwa juu. Hakuna afande hata mmoja aliemsaidia.

Amechukua fomu anatoka bado amemng'ang'ania na Sugu, Hadi maafande wanzake wanamshangaa tu.
 
JPM kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini? Yeye alipoenda kuchukua fomu ya Urais kwa maandamano hakuvunja hiyo sheria yenu?
Acha kukarili, maandamano yapi uliyaona JPM akichukua fomu? Dawa yenu in hiyo basi. Hapana deko hapa
 
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.

Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.

Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.

Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.

Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20

Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.

Hivi ukienda kuchukua form watu wakakufuata unashikwa wewe!! unatakiwa kufanya nini kuwaandikia barua watu wasije au !
 
Ujinga uliopitiliza mtu hana hata silaha unatumia miguvu mingi ? Unamuita kituoni asipokuja unamkamata. Hivi CCP wanasomaga nini hawa watu? Kuna kazi za aibu sana hata reasoning hakuna.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mtoa post.. haupo Mbeya.. wakati Tulia anaenda kuchukua fomu ya CCM alisababisha foleni na usumbufu mkubwa.

Natabiri hata atakapo enda kuchukua fomu ya ubunge naamini malori yatasoma watu.. na yule yule Polis wa leo atakuwa anawalinda.
 
Huku kwenye ubunge tuache tu yafanyike yanayofanyika. Sidhani kama karatasi imewahi kuamua hatma ya nchi, na sijaona kama nje ya sistimu kama kuna mtu sahihi...tupendane, tupeane hizo ajira kwa nafasi, mjengoni kupi kumewahi kuipinga Eksekativu na mjengo ukashinda?

Vunja mjengo, 360 X 11mil × 5= 47,520,000,000

Hapo kila mwaka tunajenga km 48 za barabara kwa kiwango cha lami kwa upigaji wa enzi za Jei Kei, ni mara mia afadhali kuliko kuwalipa wa mjengoni, achilia mbali 290,000,00 kwa wote kila faivu iazi ya kukaa mjengoni
Mihadarati ni hatari sana kwa afya.
 
Hivi yule OCS hajajisikia vibaya maana toka Sugu anaingia na watu wake yeye joto lilikuwa juu. Hakuna afande hata mmoja aliemsaidia.

Amechukua fomu anatoka bado amemng'ang'ania na Sugu, Hadi maafande wanzake wanamshangaa tu.
Unadhani atapandishwaje cheo bila kufanya hayo kwa Sugu?
 
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.

Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.

Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.

Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.

Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20

Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.

Tatizo la Sugu aka Joseph Mbilinyi Ni ushamba na utoto....anatafuta kiki
 
Acha kukarili, maandamano yapi uliyaona JPM akichukua fomu? Dawa yenu in hiyo basi. Hapana deko hapa
Vipi huu mkakati uliishia wapi mkuu?
Screenshot_2020-08-14-22-45-33-1.jpg
 
Back
Top Bottom