Je kwa kutotamka Ndugu, Mh au Dr; mtu huyu amekosea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kwa kutotamka Ndugu, Mh au Dr; mtu huyu amekosea?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfwalamanyambi, Jun 5, 2011.

 1. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wakati watu wengi wakipewa nafasi ya kumkaribisha Rais wa Tz wanaanza na maneno kama vile, ... Ndugu, Mh, Dr. ....... Leo kwenye sherehe za kumsimika Askofu Ndimbo pale jimboni Mbinga, kiongozi (Askofu) mmoja alipewa nafasi ya kumkaribisha Rais, kaanza kwa kusema "sasa namkaribisha J....K.... bila kuweka yale maneno muhimu ya kumtambua kiongozi, je hapo amekosea ?
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  yaa, amekosea kwa kutokumtaja kuwa ni nani hasa... Kama amesema "namkaribisha Rais wa Tanzania.... kisha baada ya hapo akataja jina" basi hajakosea. Huwezi tu ukamkaribisha mtu bila kutaja cheo chake, manake siyo wote wanaojua huyo ni nani.. Haya ya Dr. Mheshimiwa siyo lazima, hata ingekuwa mimi nisingeyatumia!
   
Loading...