Je, kwa hali hii nitakuwa na upungufu wa nguvu za kiume?

Kiufupi wewe ni chuma. Huna tatizo lolote ndugu ila acha kutumia stopwatch ukiwa faragha
 
Jamaa unatumia stopwatch kama vile unafanya ile practical ya chemistry ya X kudisappear.
 
Sijasoma yote ila Kama huna nguvu za kiume we ni fala km fala wengine tu muisome wanaume wote goigoi, isipokuwa tu wale waliopata ajali ama wazee,, ila wapiga nyeto nyie ni kama makopo tena ya jalalani
Hahahhahaha jamani kwahio sie ambao bao la 2 atukojoi kabisa tatizo laweza kuwa nn mrembo? Maana huwa tunaishia kuwapiga msasa wa K
 
Inategemeana na mwanamke, hao wa kupiga ikanukia mishkaki sio level zako wewe kidume hao waachie Mr goigoi's😜
Hahahahahah kweli inategemea ntu na ntu mama! Wanaojielewa tunapiga ga kitozi tu ila tuma na ya kutolea lazma watubu dhambi zao.
 
Hahahahahah kweli inategemea ntu na ntu mama! Wanaojielewa tunapiga ga kitozi tu ila tuma na ya kutolea lazma watubu dhambi zao.
😂😂😂Kuna wanaojielewa na wanataka kupigwa sawasawa mpk achechemee,,Hawa ndo size yenu wanaume wote
 
Comment Za humu zinaweza kukufanya uwe depressed yani unakuta mtu anasema bao lakwanza yeye anakojoa baada ya saa moja na hapo mwanamke ameshamkojoza zaidi ya mara nne

Alafu ukijicheki wewe tako nne tu wazungu hao

Mkuu usijali uko vizuri kabisaa
Yaani mkuu we Acha Tu
 
Back
Top Bottom