Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Wadau salam,

Naomba kujua kutoka kwenu kuwa inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?

Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, nimejitahidi kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lakini amekomaa na msimamo wake. Hofu yangu ni kwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.

Tulipokutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingine eti tungoje mpaka ndoa.

Wadau nisaidieni,mimi naishi kwangu na maisha yangu sina dhiki kwa kweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lakini dushe lake ananinyima. Kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? Kwangu mimi dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
 
Lazima una pepo la uzinzi. Kaombewe
Huyo anakupenda kwa dhati. Hataki akuchezee.
Ukimpa anaweza asikuoe haraka kwa sababu papuchi anaipata, tena kwa kungángánizwa
Aidha, anaogopa usijembambikia mimba isiyo yake kabla ya kufunga ndoa. hamkawii nyie.
Hivi akikugegeda then akakuacha, utakuwa umeonja migegedo mingapi kabla ya kuja kuolewa?
If you are not a virgin, try to have a secondary virginity.
 
Dada zetu...Dada zetu..Nilivyosoma nilijua ni mwanaume maana sisi ndo huwa uvumilivu unatushindaga na kuwa vijitamaa tamaa sasa kuja kukuta ni Monica analalamika nimeshangaa..Monica una wahi wapi eti Dushe ndiyo unachohitaji zaidi...Jamani dada mmoja ajitolee kuwa kungwi hapo..
 
Lazima una pepo la uzinzi. Kaombewe
Huyo anakupenda kwa dhati. Hataki akuchezee.
Ukimpa anaweza asikuoe haraka kwa sababu papuchi anaipata, tena kwa kungángánizwa
Aidha, anaogopa usijembambikia mimba isiyo yake kabla ya kufunga ndoa. hamkawii nyie.
Hivi akikugegeda then akakuacha, utakuwa umeonja migegedo mingapi kabla ya kuja kuolewa?
If you are not a virgin, try to have a secondary virginity.
Na nikingoja nikakuta hawez kazi? mi nataka mara moja thn tutawait
 
wadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?

Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
Be patient dear mambo mazuri hayataki haraka.... You are lucky kupata kijana ambaye haientertaining those stuffs... Keep pray and God will reveal more to you kama kuna yaliyojificha in secret.. Otherwise inawezekana sana, I am a witness .. .. Thanks..
 
Back
Top Bottom