Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
Vodacom acheni uongo
NIliamua kufuatilia matangazo ya Vodacom kuhusu kutuma pesa bure ni uongo, wanakata. Hata ukituma then wakatuma ujumbe kuwa umeongezewa Tshs. 200/= ni uongo tu. Kinachoniuma sio kikata fedha kwani hakuna kazi ya bure. Ninaumizwa na namna kampuni kubwa ya Vodacom inavyowadharau watanzania kwa kuwadanganya kama watoto. Jirekebishe jamani.