Je kutumia M-PESA sio bure?

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Vodacom acheni uongo
NIliamua kufuatilia matangazo ya Vodacom kuhusu kutuma pesa bure – ni uongo, wanakata. Hata ukituma then wakatuma ujumbe kuwa umeongezewa Tshs. 200/= ni uongo tu. Kinachoniuma sio kikata fedha kwani hakuna kazi ya bure. Ninaumizwa na namna kampuni kubwa ya Vodacom inavyowadharau watanzania kwa kuwadanganya kama watoto. Jirekebishe jamani.
 
KWELI KABISA HAW JAMAA WEZI TU,mm nilituma mara 3 kwa siku moja viwango tofauti na akaunt tofauti cha ajabu nilikuwa napata sms kuwa nimerudishiwa hela nliyotumia kumbe hakuna kutu
 
Na hao wanaotudanganya na kutuibia pesa zetu ni watanzania wenzetu kabisa.Mi nina shaka na muelekeo wa Taifa hili!!
 
Back
Top Bottom