johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,898
- 141,836
Wengi wetu tulitegemea mawaziri wataapishwa kesho lakini kwa bahati mbaya Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Halord Nsekela amefariki dunia leo.
Kwa ratiba niliyonayo marehemu Nsekela aliyefia jijini Dodoma mwili wake utasafirishwa siku ya Jumanne kuelekea Tukuyu Mbeya ambako atazikwa siku ya Alhamis.
Sasa sijajua kama zoezi la kuapishwa mawaziri wateule litasubiri uteuzi wa Kamishna mpya wa maadili au itakuwaje?
Watu wa itifaki msaada Tafadhali.
Rip Halord Nsekela
Maendeleo hayana vyama!