Je, kusamehe ni nini? Mandela aliwasamehe Makaburu waliomtesa kwa miaka 27 akashindwa kumsamehe Winnie aliyempenda

Beans
Weewe ni mfalme njozi?

Umejuaje naelekea Kairuki?
[/QU

6th Sense ya nguvu ya BWANA imeniambia,likewise inavyoniambia jinsi magufuli atakaposhinda kwa upepo wa kisulisuli uchaguzi ujao,likewise jinx nchi itakavyozd kupaa in the coming 5 years😁😁😁
 
Sure,uhobobo wake....
Mwenzake Will Smith kawekwa Red Table na Jada Pinkett then kudisclose kwa mumewe jinsi alivyokuwa anashiriki KUMNOGESHA wa pembeni na bado Will kaelewa somo na kusamehe.....
Pumzi ya uhai ni zaidi ya vyote😁😁

Hizo ndo zinaitwa hekima asilia
Ukomavu wa akili na
Utashi maridhawa...

Ufurukute kwani yakoo??

Uliiumba??

Kama yako mbona hukuipa jina lako la pekeyako....

Kwani itakupunguzia nini ukiipa kisogo na kusaka nyingine...

Haina bei ile ukiruhusu igharimu uhai wako ni hasara kwako na wanaokuhusu.

Endeleza aliposhindwa mwenzio, achia uliposhindwa mwenzio aendeleze.

Ukifanya hii, hakika utaishi muda mrefu hadi ukinahi kuishi, waalaaahhhi tena.
 
Ushauri Kuntu na maneno ya dhahabu kupita kiasi.

Laiti wanaume wote tungeuchukua ushauri huu unaotupa,the world would be a better place to live daaaah.
Umenikosha....

Life is so precious with an exquisite purpose.
Hizo ndo zinaitwa hekima asilia
Ukomavu wa akili na
Utashi maridhawa...

Ufurukute kwani yakoo??

Uliiumba??

Kama yako mbona hukuipa jina lako la pekeyako....

Kwani itakupunguzia nini ukiipa kisogo na kusaka nyingine...

Haina bei ile ukiruhusu igharimu uhai wako ni hasara kwako na wanaokuhusu.

Endeleza aliposhindwa mwenzio, achia uliposhindwa mwenzio aendeleze.

Ukifanya hii, hakika utaishi muda mrefu hadi ukinahi kuishi, waalaaahhhi tena.
 
Hizo ndo zinaitwa hekima asilia
Ukomavu wa akili na
Utashi maridhawa...

Ufurukute kwani yakoo??

Uliiumba??

Kama yako mbona hukuipa jina lako la pekeyako....

Kwani itakupunguzia nini ukiipa kisogo na kusaka nyingine...

Haina bei ile ukiruhusu igharimu uhai wako ni hasara kwako na wanaokuhusu.

Endeleza aliposhindwa mwenzio, achia uliposhindwa mwenzio aendeleze.

Ukifanya hii, hakika utaishi muda mrefu hadi ukinahi kuishi, waalaaahhhi tena.
👋👋👋👋👋👋
 
Wananzengo wenzangu naomba tusaidiane kulitatua hili fumbo la imani.

Mandela aliweza kuwasamehe Makaburu waliomfunga na kumtesa kwa miaka 27, alishindwaje kumsamehe mke wake mpenzi?
Sababu A. Usalit. B inasemekana alianzisha kikundi cha kuwa choma moto watu wanaohusiwa kuwa karibu na makaburu. C alimuonya akaleta zalau...
Makaburu bila ya kutumia akili asinge toka jela.. Aliwarubuni akitoka atawasamehe...Akachukua dola kiakili bila mabavu...
Hata Kenya kuna mtu pia alikataa kumsamehe.
 
Wananzengo wenzangu naomba tusaidiane kulitatua hili fumbo la imani.

Mandela aliweza kuwasamehe Makaburu waliomfunga na kumtesa kwa miaka 27, alishindwaje kumsamehe mke wake mpenzi?
Achana na kuchapiwa mkuu inauma sanaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom