Je, Kusamehe ni lazima au hiari? Usiposamehe utapata dhambi?

Mr Zombie

Member
Jan 26, 2022
83
44
Hapa napata maswali mengi sana ya kujiuliza je kama kweli yatupasa binadamu tusamehe.

Na ni amri kutoka kwa mungu.

Swali ni kwamba je huyo mungu alietuambia sisi tuweze kusamehe

Kwanini yeye hakuweza kuwasamehe kizazi cha sodoma na gomora na kizazi cha enzi za Nuhu?
 
Mafundisho ya dini yangu msamaha sio lazima, japo mungu ameshauri ni vema tukawa wasamehevu(hapa mungu ana maana yake kutuusia sisi tusameheane), kuna vitu mungu ametaka lazima tufanye na kuna vitu anatushauri.

Swali la pili, kwanini mungu hakuwasamehe sodoma na gomora, angewasamehe vipi nao hawakuomba msamaha, walizidisha jeuri.

Chukua mfano, mtu anakukosea(sodoma na gomora), kisha wewe unatuma mjumbe (nabii/luti) lakini hao watu hataki kusikia.

Yaani mtu akukosee iwe kwenye daladala, akuchukulie mkeo, akuibie halafu umwambie kistaarabu kisha alete za kuleta, mixer kutaka kukutia vidole machoni, halafu ukiangalia huyu unamuweza kabisa, utaacha kumpa kibao moto au konzi.

Mungu anatuhusia tukikosea tuombe msamaha yeye ni msikivu na mwingi wa kusamehe.
 
Mafundisho ya dini yangu msamaha sio lazima, japo mungu ameshauri ni vema tukawa wasamehevu (hapa mungu ana maana yake kutuusia sisi tusameheane), kuna vitu mungu ametaka lazima tufanye na kuna vitu anatushauri.

Swali la pili, kwanini mungu hakuwasamehe sodoma na gomora, angewasamehe vipi nao hawakuomba msamaha, walizidisha jeuri, chukua mfano, mtu anakukosea(sodoma na gomora), kisha wewe unatuma mjumbe (nabii/luti) lakini hao watu hataki kusikia.

Yaani mtu akukosee iwe kwenye daladala, akuchukulie mkeo, akuibie halafu umwambie kistaarabu kisha alete za kuleta, mixer kutaka kukutia vidole machoni, halafu ukiangalia huyu unamuweza kabisa, utaacha kumpa kibao moto au konzi.

Mungu anatuhusia tukikosea tuombe msamaha yeye ni msikivu na mwingi wa kusamehe.
Na inakuwaje kuhusu like swala alilosema Yesu au nabii Issah bin Mariam kwamba "mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na la kushoto"?????
 
Ka
Na inakuwaje kuhusu like swala alilosema yesu au nabii issah bin mariam ..kwamba "mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na la kushoto"?
M
Katika mafundisho ya dini yangu sijasoma kama issa(yesu) alisema hivyo, ila naamini kwa kauli hiyo alilenga huo usamehevu, kwamba kupigwa na kusamehe huo huenda ndio ukawa uvumilivu wa kiwango cha juu, so alitolea mfano kwa kitu cha level ya juu tupage kuelewa nini kusameheana, toa kupigwa weka mfano mwingine, mtu akakudhuluma nawe ukamsamehe.

Maelezo marefu, baadae tutajadiliana vizuri chief, asubuhi njema.
 
Sawa mkuu naww piah
 
Mr Zombie, refer vitabu vyako vya dini, na Kama Wewe Ni mpagan na huamini kuna Mungu, hutakaa uelewa vitu vingi na jehanam hutakwepa!
 
Hahaahaha..mimi si mpagani kaka ila ni maswali yanayonitatiza ndio maana nikayaleta huku tuyajadili wakuu ili nipate uelewa kuhusu hili Mkuu
 
All written in Bible! Kusamehe Ni Lazima na very serious Kwa kweli, maana Mungu mwenyewe Anasema anatusamehe Kwa sababu yake mwenyewe!

Kutosamehe kuna kuathiri hata wewe uliyetendewa ubaya !

Hata wakati mwingine tunaambiwa tusitoe sadaka tukiwa na neno na mtu, tukapatane naye kwanza!
 
Sasa kwann yeye hakuwasamehe wale wa sodoma na gomora na watu wa kizazi cha nuhu.....hata kama walikuwa wakaidi....kama kweli kusamehe ni lazima???????
 
Kusamehe ni muhimu kwa afya na amani ya mtu. Haijalishi ana dini au hana.

Kinyongo cha muda mrefu huchangia matatizo kama vidonda vya tumbo, shinikizo la damu, nk.
 
Lakini kumbuka kwamba kuna mtu anaweza akasamehe na bado akawa nakinyongo.....
Maana binadamu atakusamehe lakini hawezi kusahau......

Na pia hujanijibu kipengele cha kwanini mwenyezi Mungu anatusistiza sisi kusamehe ilhali yeye mwenyewe kuna vitu alishindwa kusamehe???????
 
Hapa napata maswali mengi sana ya kujiuliza je kama kweli yatupasa binadamu tusamehe?
Hebu tutumie nguvu ya Imagination power aliyotupa "The Ultimate Intelligence". Jaribu kuwaza kwamba tunaishi katika dunia ambayo haina msamaha (NO MERCY). Nafikiri hata wewe Mr Zombie usingepata hata time ya kuwaza hiki ulichokiandika, kwa maana Dunia ingejaa chuki, visasi na malipizi.

That's why Mwenyezi Mungu anaitwa mwingi wa Rehema (GOD OF MERCY),
Mwenye kusamehe ndiye mwenye Amani,
Mwenye kusamehe ndiye mwenye Furaha,
Mwenye kusamehe ndiye mwenye Haki,
Mwenye kusamehe ndiye mwenye Upendo,
Mwenye kusamehe ndiye mtu pekee anayereflect to Divine Grace.

''Let us now become merciful for the love of God''
 
Sasa kwann yeye hakuwasamehe wale wa sodoma na gomora na watu wa kizazi cha nuhu.....hata kama walikuwa wakaidi....kama kweli kusamehe ni lazima???????

I need to do a bit of research, but kwanza kipindi kile kilikuwa cha sheria na sio Neema, Neema imekuja baada ya Yesu kutukomboa!

I real need to explain a lot, ingekuwa man to Man ungeelewa, udadisi wako Ni mzuri Sana, as long as you stay positive usije kukufuru!

May be one day we will meet for a cup of coffee and have this discussed!
 
Lakini kumbuka kwamba kuna mtu anaweza akasamehe na bado akawa nakinyongo.....
Maana binadamu atakusamehe lakini hawezi kusahau......

Na pia hujanijibu kipengele cha kwanini mwenyezi Mungu anatusistiza sisi kusamehe ilhali yeye mwenyewe kuna vitu alishindwa kusamehe???????
Mtu akibaki na kinyongo anakuwa hajasamehe.
 
Hapa napata maswali mengi sana ya kujiuliza je kama kweli yatupasa binadamu tusamehe.

Na ni amri kutoka kwa mungu.

Swali ni kwamba je huyo mungu alietuambia sisi tuweze kusamehe

Kwanini yeye hakuweza kuwasamehe kizazi cha sodoma na gomora na kizazi cha enzi za Nuhu?
kwa sababu ya huruma ya baba yetu wa mbinguni maandishi ya vitabu vitakatifu yamehimiza tuwatendee wengine kama mapenzi ya baba yetu wa mbinguni
 
Back
Top Bottom