Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 755
- 468
Mimi nawashangaa sana wakina dada washindwa kutumia akili zao kumsoma mwanaume kama ni muongo,tabeli au muhuni mpaka kwanza waanze kuringa? hivi watakua wamejirahisisha ikiwa watakubali mara moja wakitongozwa? au wanampandisha dau mwananume? yawezekana mwanamke ukakosa bahati kutokana na kuringa sana mwanamke anatakiwa aringe ila kwa kiasi chake basi hata ukiitwa? ingawa kuna tabia mbaya ya wanawake kuitwa bila ustaarabu ila jaribu kuangalia kama huyu anaenita anashida gani! ?