Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,907
Mimi nikiwa shule ya msingi [muda hapa ni kitambo kidogo tangia nilipohitimu] mama mmoja mzungu alisema kuwa ni utumwa na mila potofu kwa mwananmke kupiga magoti, tena alikomaa kweli na watu wanasikiliza wengine wanashangaa maneno ya yule mzungu wengine wanashangilia.
Chuoni napo nikasikia katika kongamano juu ya masuala ya jinsia na jinsi ''[gender issues]'' kuwa mwanamke kupiga magoti ni unyanyasaji wa kijinsia ambao umewekwa na mfumo dume ili kuwaonea wanawake .
mfano, hapa
Theresa atangaza baraza la mawaziri
Sasa mimi nashindwa kutofautisha hicho kitendo na maneno hayo/ tuhuma hizo za wazungu na mfano wakati huyu mama May amefanya hivyo kwa Queen wao [wazungu].
Je, mafundisho na tuhuma zao ni uongo kwetu huku Afrika na Tanzania?
Asanteni sana kwa maelezo.