Je, Kuoa Wake wengi ni bora?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
NTV Kenya wanajadili na kungalia kama kuoa wake wengi ni jambo la busara na ni bora.

Sikiliza hii tube, utashangaa majibu kutoka akina mama.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=hf4bVX4-n7Y&feature=player_embedded[/ame]#
 
Wake wengi ni permisable (siyo dhambi), kwa mwenye uwezo wa kifedha, marital services) and a solution to the women: men world ratio problem
 
Wake wengi ni permisable (siyo dhambi), kwa mwenye uwezo wa kifedha, marital services) and a solution to the women: men world ratio problem

Unazo takwimu za kisayansi kuthibitisha hoja yako?? au ndo vile 'Koran imesema'??
 
Mkuu, kuna Rais anaongeza kila kukicha na kuna dini inaruhusu mpaka Wanne.
Mbona kuna mwingine anaoa kila kukicha, utasikia kaenda Mwanza kufunga ndoa kinyemela, mara sijui kaoa mke mwarabu, yaani kila siku rumaz za mshikaji kuoa zinaongezeka.
Lakini afadhali siku hizi zamani vidada mbona vilikuwa vinakoma!!
 
mbona kuna mwingine anaoa kila kukicha, utasikia kaenda mwanza kufunga ndoa kinyemela, mara sijui kaoa mke mwarabu, yaani kila siku rumaz za mshikaji kuoa zinaongezeka.
Lakini afadhali siku hizi zamani vidada mbona vilikuwa vinakoma!!
unaweza kuthibitisha...........?
 
Wake wengi ni permisable (siyo dhambi), kwa mwenye uwezo wa kifedha, marital services) and a solution to the women: men world ratio problem

hivi kuoa wake wengi ni uwezo wa kifedha? na siyo mahitaji ya mwili? ukitoa hela ya chakula na nguo ili hali umtimizii mahitaji ya unyumba hauoni unatunza wake wa wengine??

Mbona naona linapingana na nature?

Na je kwa nini wanawake hawaolewi na wanaume wengi??? maana wako wenye fedha!!
 
ni kuleta magonjwa tu ndani ya nyumba ..kwani hao wana uwezo gani wa kukithi matakwa ya hao wanawake wengi???
 
Back
Top Bottom