freeboy
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 242
- 191
Habari wana JF Doctor.
Katika pita pita zangu nimekutana na hiyo mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Inaelezewa kua kunyonywa uume wakati wa tendo la ndoa usababisha upungufu wa nguvu za KIUME na hii ni kutokana na mate yanayozalishwa kinywan pindi mnyonyaji anaponyonya uume hayana tofauti na yale pindi anapokula chakula.
Ikatolewa mfano wa mtu anayependa kunyonya kidole mara kwa mara na jinsi kidole kinavyoathirika na unyonyaji huo.
Kwenu wataalamu je kuna ukweli juu ya hili jambo?
Na ni kweli kuna mate maalumu yazalishwayo kwa ajili ya kumeng'enya chakula ambayo ndio uleta athari hiyo ya kulegea kwa UUME.
MSAADA WENU NI MUHIMU KTK HILI TUPATE KUELIMIKA.
JUMAPILI NJEMA.