Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mi najiuliza hivi kwa nini CCM ni watu wenye chuki na wakatlli hivƴo!! Nashindwa kupata jibu!
Kwahiyo ndio asaliti taifa?, lazima alipe gharama za matendo yake wallah!Huyo anajua lugha za wazungu ndiyo maana marafiki zake ni wazungu ahitaji mkalimani
In God we Trust
Kwahiyo ndio asaliti taifa?, lazima alipe gharama za matendo yake wallah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana amegeuka ombaomba gaflaNasikia na wamarekani nao wanasitisha usaidizi wao kwenu
In God we Trust
Kusimama na hao mashoga wazungu ndio nani aumie. Yaani kuna watu wana mentality ya ovyo sana. Au kusimama na hao wazungu ndio unaona issue hata kama lissu anaahidi kuwapa nchi akiwa rais?!

vipi unaguna??umekalia msumari nini?
Kwani chuki ipo au haipo na kama ipo, ipo kwa kina nani?Mi najiuliza hivi kwa nini CCM ni watu wenye chuki na wakatlli hivƴo!! Nashindwa kupata jibu!