Je kuna Wanaume wanaopata wapenzi kutokana na mvuto wao kwa Wanawake/wasichana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna Wanaume wanaopata wapenzi kutokana na mvuto wao kwa Wanawake/wasichana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mmaroroi, Jun 30, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Katika jamii zetu za kiafrika Mwanaume humpata mpenzi kwa kumtongoza/kumvutia kimapenzi.Lakini kumekuwa na usemi kuwa huyu jamaa anavutia kweli kwa wanawake.Je ni kweli? Kama ni kweli si wanaweza hata kuvutia kwa wake za watu?
   
 2. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Sasa huyo mke wa mtu akivutiwa na wewe kwani ni lazima umkubali. kama utakubali kila mtu kwa sababu ya kuvutiwa basi utakufa mapema sana na NGOMA.
   
 3. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Unajua wengine wanatumia fedha kutafuta wapenzi,sasa kama kuna anayevutia na yeye pia ni kiwembe si atatumalizia wake zetu?Halafu si kweli kuwa NGOMA inaua mapema siku hizi kuna ARVs na LISHE zingine.Kwa hiyo hoja ni kuwa kuna wanaume wanaovutia bila kutumia kichocheo?
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Wapo wengi tu. Wanafuatwa na totoz na wanaambiwa moja kwa moja.
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  I don't know about jamii za kiafrika, but if jamii zenye asili za kiafrika is any indication then probably yes.

  Jana kuna totoz bomba kakaa karibu na mimi kwenye treni, kaniona nasoma kupitia "Amazon Kindle" yangu, nimepiga suti nadhifu na tai kubwa, well groomed, headphones masikioni, kaanza kuniuliza kuhusu "Amazon Kindle" na vitabu ninavyoweza kupata humo, chit chat nyingi mpaka tukafika kituo cha nyumbani, kushuka kaniambia amependa nilivyovaa na kazi yangu, na yeye ansomea mambo hayo hayo anataka niwe "career mentor" wake.

  Nikachukua kadi, akachukua kadi, sasa sijui haya mambo ya "career mentor" yanaweza kuwa gumzo la kuanzia tu au vipi!

  Mpaka mtu unaona duh!

  Au uchu wangu tu watu wanatafuta "career mentor" kweli? Kama anatafuta mentor si angeenda LinkedIn/ Careerbuilder seminars?
   
 6. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wee gonga mavi2z mshikaji.mambo ya u mentor mtajuana baadaye.
   
 7. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa mkuu kuna wanaume wanao wavutia baadhi ya wanawake,ila kumbuka sio wanawake wote wanaopenda mwanaume anayevutia wengi wao wanawaogopa sana, wanaume wa dizaini hiyo kwa sasabu zao wanazodai kuwa mwanaume kama huyu anakuwa ni malaya,kwani wanawake wengi wanajigonga kwake.

  Mi mwenyewe nina bahati hiyo ya kupendwa na warembo kwa kile wanachodai kuwa nina wavutia, inafikia stage mpaka wengine wananitongoza ha ha ha,ni hatari sana hasa ukijikuta ni mtu watotoz una kwenda na maji mara moja.
   
 8. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  chaguwa wimbo ?au utatuma salam kwanza L:):):)
   
 9. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Kuvutia kivipi? Kwa tabia? Kwa sura(umbo)? Umaarufu(labda msanii)?,fedha? Kwa maoni yangu chochote kati ya hivyo kinaweza kumvuta mwanamke kwa mwanaume (hata kama ni mke wa mtu)!
   
Loading...