LINCOLINMTZA: We jidai ni vielectronic vyako siku huko kwenye Apache angani, Kamanda wako akuamuru ujirushe kwenye milima ya ToraBora ukamkamate adui bila parachute tuone kama utapona na mazoezi yako ya keyboard na Electronic lab.This is an era of electronic or soft science and not mechanical science
Aisee...hawa jamaa wakija hapa jf tutapigikaje!?mie simo.
Yap.., ndo yenyewe,, afu kuna nyonya mafuta, mapenzi ya nyoka, mwendo wa bata, etcwanaita wao beba dunia....