Je, kuna wakati Waethiopia walitawala Misri yote hadi Israel?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,160
12,637
wakati wa mfalme Asa wa Yuda (913-869 BC) kitabu cha pili cha mambo ya nyakati, sura ya 14. Mstari wa 9-14 kisa hiki kinasimuliwa.

9Zera, Mwethiopia aliishambulia nchi ya Yuda akiwa na jeshi la askari 1,000,000 na magari 300, akasonga mbele hadi Maresha. 10Asa alitoka akaenda kupigana naye. Pande zote mbili zilijipanga katika bonde la Sefatha karibu na Maresha. 11Hapo Asa akamlilia Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, hakuna mwingine kama wewe, mwenye uwezo wa kulisaidia jeshi liwe dhaifu au lenye nguvu. Tusaidie, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kwa kuwa sisi tunakutegemea wewe, na kwa jina lako tumekuja kupigana na jeshi hili kubwa ajabu. Ee Mwenyezi-Mungu, wewe ndiwe Mungu wetu; usimruhusu binadamu yeyote ashindane nawe.”
12Basi, Mwenyezi-Mungu aliwashinda Waethiopia mbele ya Asa na jeshi lake la watu wa Yuda. Waethiopia wakakimbia. 13Asa pamoja na wanajeshi wake wakawafuatilia mpaka Gerari, wakawaua Waethiopia wengi sana, asibaki hata mmoja, kwani walikuwa wamekwisha shindwa na Mwenyezi-Mungu pamoja na jeshi lake. Jeshi la Yuda lilichukua nyara nyingi sana. 14Liliharibu miji yote iliyokuwa kandokando ya Gerari, kwa kuwa watu waliokuwamo katika miji hiyo waliingiwa na hofu ya Mwenyezi-Mungu. Jeshi lilichukua mali nyingi kutoka katika miji hiyo kwa sababu kulikuwamo mali nyingi sana.

Hapo ili kufika Israel na jeshi kubwa hivyo ilikuwa ni lazima kupita Misri. Je, hii inamaanisha waethiopia waliitawala Misri?
 
Hizi hadithi za Biblia na Qur'an kwa kweli ni kamba tu lazima tujikubali.....hawa jamaa kila mmoja wao anapendelea kwake. Binafsi baada ya kuamka siamini chochote toka kwenye Qur'an wala Biblia, naona ni hadithi tu ili kudanganya watu na kuwaona Wayahudi na waarab ni wa maana kumbe ni porojo tu.
 
Mimi nimesoma hivyo vitabu vyote 2 uanvyo vituhumu hapa, sijawahi kuiona hiyo story ya Ethiopia kutawala Misri hadi Israel au hata kuipiga kivita. Tumuulize jamaa katoa sehemu gani ya Biblia au Quran
 
Ndiyo maana nimesema ukisoma Biblia inavutia kwao ukisoma Qur'an hivyo hivyo. Kuna documentary moja niliona kama sikosei inaitwa "Debunking Religion." huko utakutana na utatanishi kibao, kuna vingi tu havijaandikwa ndani ya Biblia kwa makusudi tu ili kuficha ukweli.
 
Una uhakika kila kilichaoandikwa kweny bible n kweli?
 
Kulikuwa na dynasty ya black pharaoh karne ya tisa/nane BC. Kipindi hicho ndicho mfalme Asa alitawala Yuda.
 
Evolution of bible.....biblia imepitiwa na mikono mingi tangu toka ile ya asir mpka ya sasa,,kuna mabadirko meng yaliyofanywa na hao walioandika vitabu vya biblia kwa nia zao wao,,,ktk biblia wanaandika kwa msisitizo kuwa huruhusiw kuongeza wala kupunguza neno lolote, lkn wao wamefanya hivyo je kwa amri ya nan??
....biblia imepita mpka kw wapagan na waliokuwa na tabia chafu kama KING JEMS uyo aliewaundia version yake, uyu king jems alikuwa muabudu shetan, pia aliandika nakala ya the Book of demonology, ambacho kinauhusu ushetan, huyu alkuwa mpagan pure, lkn ndie alileta version yake na wakristo wanatumia bila kuhoji,ukiwahoji wanaanza ulalamishi ooh Mungu achunguzwi..upuuzi huu,,nakala za vitabu vitakatifu zilikuwa zaid ya80 lakn jiulize jee hizo nyingine ziko wapii??, alafu kwann aandaw uyo mpagan na sio askof ama mchungaj ama kiongoz wa dini?? ni sawa na kusema leo awaundie version mpya mganga ama mchaw je mtamuamin?? sasa huyo mzungu mnamuaminije??
...makosa ya biblia
ina eleza uongo kuhusiana na majina haris ya mitume na manabii
..uongo kuhusu historia ya kristo
..uongo kuhusiana na uhusika wa kristo
..uongo wa jna harisi la kristo kwa kumpa jina la yesu(jesus) ambalo chimbuko lake ni kutoka ktk pepo lijulkanalo kama zeus,yezus,azazel,son of satan kwa hiar yao wakabadr jina ili shetan aabudiwe
..uongo kuhisiana na utumwa wa waisrael uko misri
..uongo kuhusu kuvuka bahar ya shamu
..uongo kuhusian na amri10,zilikuwepo zaid ya10 na zilikuwepo tangu enzi za adamu ndiomaana nao walizjua dhambi ni zipi na zipi
...uongo kuhusiana na chanzo cha rangi za wanadamu, hazijaanzia kwa nuhu
..uongo kuhusiana na taifa la israel
..uongo kuhusiana na siku za mwisho
...uongo kumuhusu Mungu na ufalme wake
...uongo ni mwingi sana kwa mtu alie na mihemko ya dini na hisia za kipumbav hawez kuyaona haya mambo sabbu ya vifungo vya akili, mambo haya wanayoongoza kupotosha n wanadini wote pamoja na wachungaj wote,,,Kizaz hiki hakuna nabii wala mtume wala mtu mwenye Roho mtakatifu HAKUNA.
img_1_1617042432633-1.jpg
 
Hizi hadithi za Biblia na Qur'an kwa kweli ni kamba tu lazima tujikubali.....hawa jamaa kila mmoja wao anapendelea kwake. Binafsi baada ya kuamka siamini chochote toka kwenye Qur'an wala Biblia, naona ni hadithi tu ili kudanganya watu na kuwaona Wayahudi na waarab ni wa maana kumbe ni porojo tu.
😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
Huna haja ya kuviamini kwani ni nyenzo za kikoloni tu kama ulivyo ubaguzi, ukabila, uchama, ujimbo na ghasia nyingine.
Mtu unaaminishwa kitabu fulani ni cha Mungu anayekataza mauaji, cha kushangaza kitabu hicho hicho kina haya/vipengele vya kutesa wenzako na kuwaua, kufuga majini, vyuma ulete, na mambo kibao ya kishetani lakini bado watu wanashindwa kujiuliza ni Mungu gani anayeruhusu haya?
 
Kkkkkk ndivyo matapeli hao walivyo
 
Evolution of bible.....biblia imepitiwa na mikono mingi tangu toka ile ya asir mpka ya sasa,,kuna mabadirko meng yaliyofanywa na hao walioandika vitabu vya biblia kwa nia zao wao,,,ktk biblia wanaandika kwa msisitizo kuwa huruhusiw kuongeza wala kupunguza neno lolote, lkn wao wamefanya hivyo je kwa amri ya nan??
....biblia imepita mpka kw wapagan na waliokuwa na tabia chafu kama KING JEMS uyo aliewaundia version yake, uyu king jems alikuwa muabudu shetan, pia aliandika nakala ya the Book of demonology, ambacho kinauhusu ushetan, huyu alkuwa mpagan pure, lkn ndie alileta version yake na wakristo wanatumia bila kuhoji,ukiwahoji wanaanza ulalamishi ooh Mungu achunguzwi..upuuzi huu,,nakala za vitabu vitakatifu zilikuwa zaid ya80 lakn jiulize jee hizo nyingine ziko wapii??, alafu kwann aandaw uyo mpagan na sio askof ama mchungaj ama kiongoz wa dini?? ni sawa na kusema leo awaundie version mpya mganga ama mchaw je mtamuamin?? sasa huyo mzungu mnamuaminije??
...makosa ya biblia
ina eleza uongo kuhusiana na majina haris ya mitume na manabii
..uongo kuhusu historia ya kristo
..uongo kuhusiana na uhusika wa kristo
..uongo wa jna harisi la kristo kwa kumpa jina la yesu(jesus) ambalo chimbuko lake ni kutoka ktk pepo lijulkanalo kama zeus,yezus,azazel,son of satan kwa hiar yao wakabadr jina ili shetan aabudiwe
..uongo kuhisiana na utumwa wa waisrael uko misri
..uongo kuhusu kuvuka bahar ya shamu
..uongo kuhusian na amri10,zilikuwepo zaid ya10 na zilikuwepo tangu enzi za adamu ndiomaana nao walizjua dhambi ni zipi na zipi
...uongo kuhusiana na chanzo cha rangi za wanadamu, hazijaanzia kwa nuhu
..uongo kuhusiana na taifa la israel
..uongo kuhusiana na siku za mwisho
...uongo kumuhusu Mungu na ufalme wake
...uongo ni mwingi sana kwa mtu alie na mihemko ya dini na hisia za kipumbav hawez kuyaona haya mambo sabbu ya vifungo vya akili, mambo haya wanayoongoza kupotosha n wanadini wote pamoja na wachungaj wote,,,Kizaz hiki hakuna nabii wala mtume wala mtu mwenye Roho mtakatifu HAKUNA.View attachment 1957713
Umejaz hearsays tu halafu unaongea as if umeandika facts

Weka ushahidi wa madai yako!!.

Yeyote anaedai biblia ( original text yaani iliyo in hebrew,aramaic na latin) ni fabricated inabidi aje na strong evidence ku support case yake.

Usizungumzie translations.
 
Back
Top Bottom