Je kuna wadau wapenzi wa movies hapa na mnahitaji high speed ya kudownload

Mkuu paulss nilitaka ungalie jinsi ya kubadili audio track, kumbe nikawa nimesahau kuattach screenshots. Jaribu kucheck kama kuna audio track nyingine.

Pia proxy za games mie cfahamu nilichokua nataka ifahamu kutoka kwa jamaa inaonekana kuna a way ya kutengeneza links za kitu yoyote mannualy kwa kutumia proxy za hiyo website. Sasa nataka atueleweshe jinsi ya kutengeneza hizo links halafu tutatafuta wenyewe ladha.

Mkuu e2themiza umeona post hiyo..?

Jiulize swali why movie hizo ni za lugha ya kirusi?

Huwez fanya hivyo unavofkiri hadi webmaster aamue kufanya hivyo

Maana nimechunguza na nlichogundua ni kua webmaster amehost both movie na proxy katika ip adress moja.

Nafkiri ipo personal zaidi. Labda kama kuna mtu ana space nzur ya hosting anaweza fanya
 
Kuna baadhi ya movies hasa zenye ujazo mkubwa kama 4GB zinakuwa na option ya lugha kama tatu, kirusi, kiingereza na lugha gani sijui, nimedownload moja.

Tatizo hizi movies za kuanzia MB hadi 2GB zinakuwa na lugha moja tu, Kirusi
Hivi hakuna jinsi ya kudownload audio ya lugha nyingine kama tunavyofanya kwenye subtitles?
 
Hzo proxy za ukweli kuna hzo mbili kutoka mwisho zina games,softwares,tv shows na blah blah kibao..thanx for the original poster nimejipatia coppy yangu safi ya windows 8 CP nadi ya lisaa limoja na nusu!!!
 
Mkuu Cestus tusaidie bana kwa kutuwekea direct link za kwenda page ya games na proxy zake

Nimejaribu kuzitafuta naona maruerue tu
 
Last edited by a moderator:
hizo proxy mbili za mwisho ukishaziweka direct unaweka address ya 0.facebook.com then utakuta menu ina games,music,videos,series na mavi2 mengine
 
Jiulize swali why movie hizo ni za lugha ya kirusi?

Huwez fanya hivyo unavofkiri hadi webmaster aamue kufanya hivyo

Maana nimechunguza na nlichogundua ni kua webmaster amehost both movie na proxy katika ip adress moja.

Nafkiri ipo personal zaidi. Labda kama kuna mtu ana space nzur ya hosting anaweza fanya

Mkuu nimekusoma hapo... Nimejaribu kuzifuatilia hizo kitu nimeona ni personal. Yep tunashukuru kwa huo mchango wako.
 
Samahani wakubwa mimi shida yangu ni internet downloader manager, naomba ushauri nitaipataje
 
Mkuu Cestus tusaidie bana kwa kutuwekea direct link za kwenda page ya games na proxy zake

Nimejaribu kuzitafuta naona maruerue tu

Kwenye hizo proxy mbili kutoka mwisho zina games na programs..all latest games I mean!!! Just type 0.facebook.com kawaida then itafunguka ikiwa na folders za tv shows,games etc. Usitype hizo adress original poster alizopost.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom