Je kuna wadau wapenzi wa movies hapa na mnahitaji high speed ya kudownload | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna wadau wapenzi wa movies hapa na mnahitaji high speed ya kudownload

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by gkiwango, Apr 24, 2012.

 1. gkiwango

  gkiwango Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Hii ni kwa wale wanaotumia proxy ya Voda.

  Download movies with great speed and resume support

  Note
  Use the same proxy and port both in browser and idm

  http://0.facebook.com/media/video/movies/
  proxy: 76.182.22.50
  port: 80

  http://0.facebook.com/anime44/
  proxy: 76.73.39.90
  port: 80

  http://0.facebook.com/www/video/
  proxy: 212.20.48.18
  port: 80

  http://0.facebook.com/kmn/video2/
  proxy: 91.214.208.6
  port: 80

  http://0.facebook.com/USER/Video/Films/
  proxy: 109.70.186.35
  port: 80

  http://0.facebook.com/movies
  proxy: 85.24.193.188
  port: 80


  Jinsi ya kupata hizi Proxy ni njia rahisi mno,
  so unaweza kutengeneza proxy za site yoyote ile ambayo
  inatumia ip moja 2 yaani ip yake haibadiliki au ip yake
  haitumiki kwa site nyingi.
  Kazi kwenu nafikiri mmenipata unaweza tumia hii site kwa kuanzia

  IP, Proxy Lookup pia ili kutafufuta site katika google ni vizuri ukatumia advanced search

  Nimeandika kwa haraka so samahani kwa ambao hawatanielewa vizuri. Nitajitahidi kujibu maswali yote kadiri niwezavyo.


  hs.png
   
 2. Bejajunior

  Bejajunior Senior Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mpaka wafike 10 au hutaki kutoa....??? We toa majib utayapata...
   
 3. gkiwango

  gkiwango Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kumi c wengi ww mwenyewe umeshindwa k like.
   
 4. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  teh teh teh! Dah hzi like za kuomba kwa nguvu ushamba 2... nways kuna proxy inaresume na kudownload more than 200MB kwa wakati mmoj afu inaspeed kubwa sana 2... Kutokana na maelezo ya Gkiwango naomba 2peane Inbox ila sms yake yeye naomba nisiione.
   
 5. Bejajunior

  Bejajunior Senior Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  haha natumia cm......
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  dah wa2 wanapenda rushwa,hadi huku!! Toa mali ikikubalika likes utazikimbia!Jamii ni moja rushwa za nini wazee
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Thanx gkiwango nimetest ipo powa kabisa na speed inaridhisha..
  Vipi hakuna proxy za games kamanda?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. paty

  paty JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  this thing works , thanks mkuu
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  nice,very nice! Nmekupa like hizo bana! U deserve t
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  oya hio speed naona screen shot tu mbona mi siipati? Em tuma screen shot na dashboard yake kwa pamoja. Maana pia sjawah ona movie ya 720p yenye gb zaid ya 4
   
 11. gkiwango

  gkiwango Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  chief-mkwawa Hiyo movie ina Audio mbili English na Russian so unaweza badili lugha ndo maana ikawa kubwa. Kama huamini chukua hiyo link kwenye image na proxy yk ni 212.20.48.18 then download ujionee mwenyewe. Kuhusu speed inategemea na sehemu uliyopo. Mimi nipo nje ya mji kabisa ndo maana spidi ni kubwa.
   
 12. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  gkiwango thanks. Naungana na wewe swala la speed inategemeana na location, pia na muda. Mfano kwa vod spidi ni kubwa wakati wa asubuhi na nindogo muda wa jioni. (Swala la muda: Hii ni kwa location yangu,Sijajua kwa wengine)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Nje ya mji wapi mkuu nataka nihamie huko ulipo ili niipate hiyo speed
   
 14. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hii inahusika sana
   
 15. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kivipi? Fafanua kidogo
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wakuu hadi sasa proxy hizi ni za ukweli na uzuri ni kwamba zina speed nzuri sana inarange 200 to 500 KB/sec
  Ubaya wake ni kwamba movies unazodownload zinaongea lugha gani sijui, sio kiingereza

  Kama kuna mtaalamu anajua kama inawezekana kudownload audio ya movie kama inavyowezekana kwenye subtitle anisaidie maujanja
  Maana mimi siwezi kuangalia movie yenye subtitle nika enjoy, muda wote nitakuwa nakazana zaidi kusoma subtitle kuliko kuangalia kinachojiri kwenye movie

  proxy.PNG
   
 17. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Ishu hapa ni kwamba mshikaji anatakiwa atuelekeze jinsi ya kutengeneza hizo proxies. It is agud Idea
   
 18. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180

  [​IMG]
   
 19. P

  Paul S.S Verified User

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180