dtj
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,331
- 1,373
Mkuu yitzhak.Huko ni kuwadhalilisha
Wewe huna lengo la kujifunza bali kuleta mjadala ambao hauna msingi.
Mkuu yitzhak.Huko ni kuwadhalilisha
Mkuu unamatatizo wewe.Usipaniki mkuu twende taratibu wewe kama mlei hutakiwi kupaniki
Kwahiyo una akili za dini na siasa, hujui kwamba Vatican ni serikali na ina ubalozi wake Pale oysterbay?Hapa tupo kwenye dini sio muda wa siasa
kwani wewe unapoona neno mungu unaamini ni kitu gani....kabla hujataka kupata uthibitisho...Kwa nini?
Bahati ni ipi sasa hapoHata kama ni wa pili. Unajua afrika kuna makrdinal wangapi. Na huyu jamaa kauliza as if ni sheria kardinal kutokaTanzania
Huyu Nesi ana tabasamu zuri sana.Hakuna haja ya kuchagua Askofu Mkuu mwingine.
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Yudathadeus Ruwa'ichi anaendelea vizuri. Mungu ni mwema.
View attachment 1204811
Kwanza kabisa, sitaki kuamini, nataka kujua.kwani wewe unapoona neno mungu unaamini ni kitu gani....kabla hujataka kupata uthibitisho...
Kitandani anafanya nini kama si kupumzika!Amekwambia anahitaji kupumzika ?
Wewe ndiye ututhibitishie kuwa hayupo tunaoamini kuwa haya tunayoyaona yameumbwa naye.Kwanza kabisa, sitaki kuamini, nataka kujua.
Mungu ni character wa hadithi iliyotungwa na watu, hayupo katika uhalisia nje ya hadithi.
Kama unabishia hili - na inawezekana mimi nikawa nimekosea na wewe uko sawa- thibitisha Mungu yupo.
Kwanza kabisa, sina tatizo wala mjadala na wanaoamini.Wewe ndiye ututhibitishie kuwa hayupo tunaoamini kuwa haya tunayoyaona yameumbwa naye.
This is a good question.Kwanini umeng'ang'ania sana ajiuzulu au astaafu? Una masilahi yapi askofu akijiuzulu au akistaafu?
Unasema hayupo nje ya uhalisia wa hadithi, tuthibitishie na sisi ambao labda tumepotea kiimani.Kwanza kabisa, sina tatizo wala mjadala na wanaoamini.
Kama unafikiri nina tatizo au mjadala na wanaoamini naona umekosea mjadala.
Huyo mwenye msalaba ndiye Nzigilwa?!Hakuna haja ya kuchagua Askofu Mkuu mwingine.
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Yudathadeus Ruwa'ichi anaendelea vizuri. Mungu ni mwema.
View attachment 1204811
Unasema hayupo nje ya uhalisia wa hadithi, tuthibitishie na sisi ambao labda tumepotea kiimani.
Bahati ni ipi sasa hapo