Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,265
- 105,432
Wapi nimeandika kufikiri Mungu yupo ni tatizo?Vyema,na kufikiri kwamba Mungu yupo sio tatizo au una tatizo iwapo mtu anafikiri hivyo?Mpumbavu hufikiri moyoni kwake kwamba hakuna Mungu(Zab 53:1 na kuendelea)kasome na uwe na amani moyoni mwako
Tatizo mtu kaja na katuambia ukatoliki ndiyo kanisa la pekee ya Mungu wa kweli.
As a statement of fact.
Nikamwambia athibitishe Mungu yupo.
Mpaka sasa hajathibitisha!
Kufikiri Mungu yupo sio tu sina tatizo nako, mimi kama mtu niliyesoma "Universal Declaration of Human Rights" la December 10 1948, natetea haki za uhuru wa kuabudu kama haki za binadamu.
Lakini sitaki mtu aseme Mungu yupo as a statement of fact, because it is not.It is a statement of belief.
Unaelewa tofauti?
Unaelewa kimsingi sijawahi kubishana na mtu anayesema "naamini Mungu yupo" kama kauli ya imani?
Unaelewa nina tatizo na mtu anayesema kama fact kwamba "Mungu yupo kweli na dini yangu ndiyo ya kweli" ?