Well,Sorry I mean pop Benedict
Tulishakuwa na Kardinali Rugambwa Tanzania kutoa makardinali kwetu kawaidaHivi unajua Afrika ina ma kardinal wangapi? Usidhani kila nchi ina Kardinal. Tumepata bahati sana kuwa na Kardinal pengo. Sidhani kama itatokea tena hivi karibuni
Tatizo bwana mdogo haelewi maana ya cardinali anafikiri ni mkuu wa Tanzania kumbe hapana.Kuteuliwa kuwa cardinali maana yake umewekwa kwenye foleni ya kuwa Pope Elector yaani unaingia kwenye conclave ya kuchagua Pope.na unaweza kuchaguliwa kuwa pope ndio maana ya kuwa kadinali.Any way Mungu amjalie afya nyingi Baba Askofu Ruwaichi.Alinifundisha umuhimu wa kuwa zealous na sio kuwa Jealous.Mungu akuponyeHivi unajua Afrika ina ma kardinal wangapi? Usidhani kila nchi ina Kardinal. Tumepata bahati sana kuwa na Kardinal pengo. Sidhani kama itatokea tena hivi karibuni
Naomba unifafanulie mkuu
Tatizo bwana mdogo haelewi maana ya cardinali anafikiri ni mkuu wa Tanzania kumbe hapana.Kuteuliwa kuwa cardinali maana yake umewekwa kwenye foleni ya kuwa Pope Elector yaani unaingia kwenye conclave ya kuchagua Pope.na unaweza kuchaguliwa kuwa pope ndio maana ya kuwa kadinali.Any way Mungu amjalie afya nyingi Baba Askofu Ruwaichi.Alinifundisha umuhimu wa kuwa zealous na sio kuwa Jealous.Mungu akuponye

Kabla ya Pengo alikuwepo Cardinal Rugambwa.Hivi unajua Afrika ina ma kardinal wangapi? Usidhani kila nchi ina Kardinal. Tumepata bahati sana kuwa na Kardinal pengo. Sidhani kama itatokea tena hivi karibuni
Thibitisha Mungu yupo kwanza.Judethadeus Ruwa'ichi sio Kardinali - ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.
Hata hivyo, Kanisa Katoliki lina mifumo thabiti sana ya kiuongozi.
Ndio maana sio Jambo la kushangaza kusikia Jimbo fulani halina Askofu au Askofu Mkuu hata kwa zaidi ya miaka minne, na kila kitu kikaenda sawa sawia.
Hili ndio Kanisa pekee liliochwa na Mungu nafsi ya pili - Kanisa moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume.
Sina uelewa mkubwa ila nafahamu MTU akishindwa kuendelea kutokana na sababu mbalimbali Pop huchagua mwengine
Kwani mtu ukiuliza kuliko kujifanya mjuaji unapungukiwa Nini?!
Anza kuuliza tofauti ya "askofu" na "kardinali"
Kama unashindwa zaidi consult your Google tujifunze kuwa wadadisi kwa kusoma
Maana mwisho wa siku unaweza kuoneakana "Tia maji"
Hakuna sababu ya kumthibitisha Mungu anayejithibitisha na kuthibitika kwa kila sekunde iliyopo.Thibitisha Mungu yupo kwanza.
Well,
Ni kweli kabisa Pope Benedict XVI aliomba kujiuzulu kwa kuwa na matatizo ya afya ya muda mrefu ambayo kwa mamlaka yake makubwa yalimfanya ashindwe kutimiza majukumu yake vizuri.
Hii ni tofauti kwa Askofu Mkuu Ruwa'ichi:
Mosi; hajaugua kwa muda mrefu.
Pili; hana mamlaka makubwa kama ya Papa, ambayo asipokuwepo kwa muda mfupi ofisini yanaleta shida.
Kimsingi, ana wasaidizi wawili kabisa Maaskofu ambao wanaendelea na uongozi.
Tatu; hajaomba kujiuzulu.
Nne; kama kila Askofu au Padre akiugua tu kidogo aombe kujiuzulu, watajiuzulu wangapi?
Tano; akichaguliwa mwingine, yeye akipona ataenda wapi?
Kumbe, hakuna sababu ya Baba Mtakatifu Francis kuchagua Askofu Mkuu mwingine, wakati "haijathibitika" wala aliyepo "hajathibitisha" kuwa hawezi kuendelea na majukumu yake.
Halafu unatakiwa ujue kuwa mchakato wa kumpata Mchungaji Mkuu wa Jimbo (kuu) lolote lile huwa ni mrefu na unahitaji muda na sala nyingi sana.
Kuwa mvumilivu, Mkuu.
Nimeona taarifa kwa umma iliyotolewa na Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Dar es Salaam inayoeleza kuwa Mhashamu Baba Askofu Mkuu amefanyiwa Upasuaji MOI akitokea KCMC.Asante kwa kunielimisha
Ila kwa upasuaji wake ni mkubwa sana angeomba kujiuzulu apumzike
Tatizo bwana mdogo haelewi maana ya cardinali anafikiri ni mkuu wa Tanzania kumbe hapana.Kuteuliwa kuwa cardinali maana yake umewekwa kwenye foleni ya kuwa Pope Elector yaani unaingia kwenye conclave ya kuchagua Pope.na unaweza kuchaguliwa kuwa pope ndio maana ya kuwa kadinali.Any way Mungu amjalie afya nyingi Baba Askofu Ruwaichi.Alinifundisha umuhimu wa kuwa zealous na sio kuwa Jealous.Mungu akuponye
Sio kwamba alikuwa,anayo nafasi ya kuwa Pope mpaka wakati huu.Kuna uwezekano mdogo sana wa kuwa na kadinali mwingine wakati yeye akiwa hai.(Mtazamo wangu)ila kwa wakati huu Jimbo la Dar es Salaam ni la askofu mkuu mwingine.Kumbe kadinali pengo alikuwa na nafasi ya kuchaguliwa Pop
Umeandika kitu gani hikiHivi unajua Afrika ina ma kardinal wangapi? Usidhani kila nchi ina Kardinal. Tumepata bahati sana kuwa na Kardinal pengo. Sidhani kama itatokea tena hivi karibuni
Rekebisha kauli yako Rwaichi sio Cardinal.Wenye ufahamu wanijulishe huyu cardinal mpya aliyemrithi pengo amefanyiwa upasuaji mkubwa sana na itamchukua muda sana kurudi kwenye hali yake kwanini Pope fransis asiteue mwakilishi mwingine kwa kuwa hizi ni kaazi za kutumikia watu
Au Pengo arudishwe kwenye hiyo nafasi hadi apatikane MTU mwingine
Na kumbukumbu zangu zinaniambia kuna Papa aliwahi kuondoka kwenye kiti chake kutokana na Afya haikuwa vizuri
Nimtakie Afya njema apone haraka mwadhama ruachi