Je kuna uwezekano wa mwanamke kuwa cdf(chief of defence forces)??

sparcus

Senior Member
Feb 18, 2014
197
126
Habari ndugu,samahani naomba kufahamishwa kama kuna uwezekano wa mwanamke ambae amepita mafunzo ya kijeshi kuweza kupewa cheo cha CDF,na kama hawezekani ni kwa vigezo gani vinavyopelekea asipewe? Nawasilisha!!!
 
Back
Top Bottom