Je, kuna uwezekano wa kukutana tena baada ya maisha ya duniani?

So, kuonana kupo, siyo? :) :) :)
Kupo mkuu ingawa ni kwa mda mfupi sana coz waovu watapewa nafasi ya kushuhudia wateule wa Mungu wakipaa mawinguni ili kuacha nafasi kwa waovu kuteketezwa kabisa ktk ulimwengu huu. So utamuona nduguyo lakn hutakuwa hata na sekunde moja ya kumkaribia.
 
There's nothing like a "bright light" kiongozi. When you die, unaoza na kuliwa na wadudu..inabaki mifupa and that's the end of it.

Life after death ni upotoshaji tu ili mwanadamu aishi kwa kujifariji.
Mkuu Hivi Hujawahi Jiuliza Sperms Zinazalishaje Kiumbe kama Wewe..Au Unaona Hayana Mratibu Hayo Mambo? Sadly Ukishakufa Ndo Utajua Ukweli..na Itakua TOO LATE!!!
 
Sema Threads Hizi Ndo Zinawatoaga Watu Kwenye Reli..Wakuu tumuabudu Mungu..Kufufuliwa kupo.
 
Tushirikiane kulidadavua hili kwa pamoja kila mtu kwa imani yake na kwa brain yake.

Maana kabla ya hapa duniani hatukumbuki tulikuwa wapi. Je, baada ya hapa duniani tutakutana tena baada ya hapa au ndio tunamaliza kila kitu hapa.
Bamileck swali lako ni zuri na fikirishi, lakini majibu utakayopata ni yatakuwa ya kuchanganya kwa kuwa yatategemea sana imani na logic na kwa kuwa kila mtu ana imani yake na logic yake basi wewe jitayarishe kupata maoni tofauti.
Mimi kwa imani yangu nina amini kuwa kutakuwa na maisha baada ya kifo, je tutakutana tena? hili swali litakuwa lenye kutegemea na hali itakayokuwa (birds of same feather flock together).
 
Acha mawazo ya kihistoria, vitabu vya shuleni vinakudanganya!! Kumbuka hivyohivyo vitabu haviamini uuumbaji wa mwanadamu,!!
wewe nawe unaleta ubishi wa kijinga hapa,kwani ushahidi wa kihistoria haupo?
Tafuta maarifa nje ya kile ulichoaminishwa Arif mbona upo wazi tu Aisee unakwama wapi?
Ushahidi wa dinosaurs upo hapa hapa bongo na mabaki yapo,stone age ushahidi tunao kabisa hapa hapa bongo,mji kipindi Cha gold age upo hapa hapa bongo kisiwa Cha mafia Kuna mji wa kale sana unaitwa Raptha umezama baharini Sasa ndugu unaleta ubishi usio na sababu hii Dunia imepitia civilization mbali mbali mbaka tumefika hii Leo halafu Bado unajitia ubishi badala ya kuingia field uhakiki!

Elimu! Elimu! Elimu!
 
Back
Top Bottom