Je kuna uwezekano wa kuhama chuo ukiwa mwaka wa pili?

Inawezekana ila inabidi baada ya kumaliza mwaka wa kwanza unabidi uende chuo husika ukaulze kama kuna nafasi ili ikupe urahc wa kushughulikia transfer chuoni kwako na kuhamisha mkopo kama nao ulipewa, sema inabidi uwe haraka kwa sababu nafasi za kuhamia nazo unaweza kumbana na competition kutoka kwa watu wengine
 
Back
Top Bottom