Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,700
- Thread starter
- #41
Una uhakika na hi statement mkuu? Mama yake Joseph Mungai ni ni Sekalinga, mama mmoja wa Kihehe na nina wafahamu wanae 2, mmoja ndio huyo unae sema anaitwa Joseph na kuna mwingine alikua akiitwa Josephat na wote ni wazaliwa wa wilayani Mufindi. Huyu Joseph (aliye wahi kua waziri wa wizara mbalimbali nchini) moja kati ya walimu wake alikua akiitwa Mzee Bangu (RIP) baba wa Profesa Bangu yule alikuaga mkuu wa Chuo kikuu cha Tumaini Iringa.
Nenda kafanye tena home yako vizuri badala ya kuandika vitu vya kuhisi.
Acha kutetea UJINGA,kwann sikumuandika mbowe, kwanini sikumuandika muhongo, kwanini sikumuandika mahiga, Nina maana yangu, Kabla hujamtetea MTU kwanza jiridhishe