Je kuna utaratibu gan wa kupata hati miliki ya ardhi ambayo unaimiliki tayar kwa haki ya kimila na vipi kuhusu gharamazake

Tumsifumwambasi

New Member
Dec 9, 2018
4
20
Habar zenu wakuu kuna shamba la familia ambalo lipo mbali kidogo kutoka mahali ambapo mzee anaishi na alinunua kwa utaratibu wa haki ya kimila kipindi hicho sasa kwa hivi karibuni kumeibuka migogoro kadha wa kadha kuhusu lile shamba majiran wa eneo lile wakilitaka kwa kujiingilia tumejaribu kutatua migogoro hiyo lakin bado kuna uwezekano wa kutokea mingine kwan eneo lile linatamaniwa na watu wengi wa eneo lile Hivo ndo mana nauliza utaratibu wa kiserikali au wa kimila kama sehemu ya kutoa suruhu ya kudumu kwa migogoro yote kwan binadamu huweza kufa hivo ushadi kutoweka kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom