Je kuna umuhimu wa kusoma A- level kama foundation course iko hivi?

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Ukijisajili utachagua masomo matano kama ya form six utasoma masomo hayo mwaka mmoja. Ukipata average ya 50% kila somo atajiunga na degree direct baada ya kumaliza mwaka mmoja. Lakini lazima uwe na any certificate na form uwe na pass D nne za o-level.

Hii ni kama rahisi mtu kujiendeleza maana ni mwaka mmoja tu na unajump hapa na kujiunga na degree...

Je hii ni sahihi kwa wewe kusoma hivi?? Na je kuna umhm wa kusoma A-level kama hiii foundation iko hivi.

Kuna vyuo vinaruhusi hii kitu je TCU sasa wamezuia ni kwa vyuo vyote au vyuo vingine kama open university, tumaini au udom wanaruhusu.
 
Foundation course lengo lake ni kwa wale ambayo wamekosa sifa au point chache za kuwa na sifa za kusoma chuo kikuu. Tatizo lilikuwa ni hizi course kutumika kupokea watu wasio na sifa za hata kusoma diploma.
 
Et mtu akimaliza cheti na akitaka kurudi diploma chuo hiko hiko c lazima kuaply kupitia nacte au lzm?
 
M nmemaliza foundation course mwez wa sita mwaka huu nasubilia majibu je nkifahuru degree ntakubaliwa kuendelea au ndo nimepoteza mda course foundation ni km advance wamekaza sana huku open university
 
M nmemaliza foundation course mwez wa sita mwaka huu nasubilia majibu je nkifahuru degree ntakubaliwa kuendelea au ndo nimepoteza mda course foundation ni km advance wamekaza sana huku open university
Kwa ilivyo sasa Foundation Course kama entry ya University Education imepigwa stop na TCU, labda kama TCU watawakubalia OUT maombi yao
 
Back
Top Bottom