Je kuna umuhimu wa kukumbushia penzi la zamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna umuhimu wa kukumbushia penzi la zamani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Queen Kyusa, Jul 2, 2011.

 1. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jamani wasalam wanajamvi mm huwa najiuliza sana kuhusu watu kuwa na kasumba ya kukumbushia penzi kwa mtu aliyeachana naye muda mrefu na kila mtu akaenda kwenye njia zake nyingine labda mwanaume kaoa au mwanamke kaolewa lakini utashangaa mwanaume akikutana na huyo mpenzi wake wa zamani anataka waanze tena au wawe wanakumbushia. Tatizo langu ni je wakati waachana siilionekana wameshindwana sasa kwanini wakumbushie enzi?Jamani nisaidieni ni muhimu​ kukumbushia penzi la zamani? .

   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haina umuhimu ni tamaa za kimwili tu hizo.
   
 3. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  niufusika hakuna umuhim
   
 4. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tamaa tu ndugu yangu, wala hakuna umuhimu wa aina yoyote ile. Mtukama ameoa au ameolewa, ni commitment ya kutokufanya upuuzi wowote na mtu wa aina yoyote ile.!
   
 5. s

  shalis JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mawasiliano sitaki what for kama tulishidwa jana basii
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nijuavyo mimi mahawala huwa hawaachani wanacho kifanya ni kukumbushia tu
   
 7. Mvua Ya Kiangaz

  Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  kushokela shokela.......................kushokela na mange:
   
Loading...