JE KUNA ULAZIMA WA KWENDA HADI TCU.?

AnthonyGasper

Senior Member
May 11, 2019
179
250
habari ndugu zangu, kama kichwa kinavyosomeka tafadhari kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hili. Mwaka 2017 nilichaguliwa course Fulani pale Mzumbe university but unfortunately nlipata matatizo yaliyopelekea nikashindwa kufanya baadhi ya mitihani ya II semester, japokuwa nilipeleka taarifa ya kile kilichonikwamisha lakini wakaniambia nimechelewa hivyo baada ya results nikawa nje ya System. A discontinued student lakini sasa nataka kuriapply tena, je ni lazima niipeleke barua TCU ilee physically or naweza kutuma hata kwa EMS pale posta. Nipo Dodoma ndo home.
Asante.
 
kricho

Member
Oct 6, 2016
62
125
Km unaweza nenda pale TCU itakuwa vzr zaid ujue km kwene database yao upo ama laah
 
tomentosa

Member
Apr 14, 2019
47
95
Barua ya disco unayo?
habari ndugu zangu, kama kichwa kinavyosomeka tafadhari kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hili. Mwaka 2017 nilichaguliwa course Fulani pale Mzumbe university but unfortunately nlipata matatizo yaliyopelekea nikashindwa kufanya baadhi ya mitihani ya II semester, japokuwa nilipeleka taarifa ya kile kilichonikwamisha lakini wakaniambia nimechelewa hivyo baada ya results nikawa nje ya System. A discontinued student lakini sasa nataka kuriapply tena, je ni lazima niipeleke barua TCU ilee physically or naweza kutuma hata kwa EMS pale posta. Nipo Dodoma ndo home.
Asante.
 
tomentosa

Member
Apr 14, 2019
47
95
Kama barua unayo hmna haja ya kwenda TCU

Ndiyo mkuu
Watakapo fungua maombi ya kuomba vyuo.utajaza re application letter then utaituma pamoja na hiyo barua kwenda TCU.lakini pia vyuo hutoa taarifa TCU kwa wanafunzi walioacha masomo kila mwisho wa semister.Mimi pia nimefanya deregistration mwaka huu natarajia kuomba hayo ndiyo majibu niliyopewa toka chuoni.Naishi Dodoma pia.Ahsanta
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom