Je,Kuna ukweli wowotekwamba matumizi ya serikali huhamasisha mzunguko na biashara?

Ngapulila

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
837
730
Hebu tia neno
Muelekeo wa serikali. I kupunguza matimizi yasiyo na ulazima,kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi na taasis za umma kuanza kufanya biashara zenyewe kwa zenyewe

Lengo ni zuri yaani kuzipa uwezo taasisi za umma kujiendesha kwa faida.Kwa upande wa mtaani kila MTU analia hali no ngumu hela hakuna.Kwa haraka nikapata jibu kuwa watu ama hawakuwazoea kufanya kazi na kuweka akiba ili wawekeze au wapiga dili waiifanya hela ipatikane bila jasho na wakaitumia kwa fujo bila uchungu

Kuna ukweli wowote kwamba government can stimulate microeconomic pattern hivyo kufanya mzinguko kurudi kama zamani au huu ndio uchumi halisia wa nchi na wananchi wake?
 
Back
Top Bottom