Je Kuna Ukweli Wowote?

Ngagarupalu

Senior Member
Oct 13, 2012
156
57
Wanajf
Je kuna ukweli wowote, kuwa mwanawake anaweza kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa (ku-do, ngono) kuliko mwanaume?. Sababu kuu ni kwamba kila mwanaume anaposafiri kikazi au ki masomo hutafuta/kudate mwanawake, bali wanawake huweza kukaa na kutulia mpaka mwisho wa semina/ masomo. Je hii ina uhusiano wowote kisayansi( biology) au ni kijamii ( wanawakw husubiri kutakwa kimapenzi). wenye ujuzi hebu niwekeni sawa!!
Wakatabahu.
 
Kwani wale wanaoukatana nao kwenye semina na ku-do ni wanaume?

ndugu unawaza mbali ila inasemekana hitaji la sex linatofautiana kati ya mwanaume na mwanamke so nyie wenzetu mnapata hitaji as many as we do ,dats oll, wanasayansi watakuja kukupa fact kamili
 
mi mwanasayansi lakini ndo niko operetion room subiri kidogo.
 
Back
Top Bottom