Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

Hajakusema wewe, mbona hata yeye mfupi ila hana temper
Hoja yako haina mashiko kihoja.

Rais mstaafu, Mzee Mwinyi ni mfupi sana lakini pamoja na kuwa public figure hatujawahi kumuona aki-act kama hoja zako zinavyodai.

Mwingine ni Mzee Kawawa...

Kwa watu walioishi Japan na sehemu za Asia kama ufilipino ambako watu wake wengi ni wafupi watapingana na hoja zako.

The list goes on and on

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia badala ya kujenga utawaumiza hata wachangiaji unaotaka wakuunge mkono maana na wafupi wao humu. Utafanya makosa kumwonea Spika kwa hatua aliyochukua. Inawezekana wewe ni mshabiki wa upinzania so utaona kila kinachofanywa na upinzani ni sawa. Hili litakuwa kosa sana maana aliyesababisha ujinga wote ni Mnyika aliyejidai mbabe kwa Spika. Hata ingekuwa wewe ungechukua hatua.
Kwa hiyo wewe unaona anayofanya Ndugai pale Bungeni ni sawa ?, Mzee Sitta alikuwa Spika makini sana nasi tunamkubali, achene kushabikia uzwazwa wa ccm kwa mambo ya msingi.
 
Kwa kutumia prefix ya ‘Ka’ kwa maana ya kudogosha/kupunguza ukubwa wa kitu/ mtu na labda toka zamani akiwa bado mdogo mtu anaambiwa hivyo inaweza pia ika muathiri ki saikolojia mtu ktk makuzi yake kwa ndani yake na ita onekana katika matendo yake pindi mtu huyu akipata nguvu fulani na hasa za madaraka na uchumi na ataonyesha sasa yeye sio mdogo/dhaifu na akiamua kutumia vibaya ili kufidia dhihaka hiyo ya udogo/udhaifu wa toka akikua kuna maamuzi yake yatakuwa ya kushangaza either mazuri sana au mabaya pia maana hisia pia ndo zinatangulia zaidi kwa sehemu kubwa
Karibu na mitaa hii.
P
 
Wanabodi

Sasa inapotokea watu wafupi hawa kujihisi wamedharauliwa halafu ikatokea mfupi huyo ni mwanamume mwenye tabia za male chauvinism, halafu kudharauliwa kwenyewe, of all the people, kuwe ni kudharauliwa na mwanamke, halafu mwanamke mwenyewe awe amemzidi urefu huyo mtu mfupi, hivyo kujihisi sio amedharauliwa tuu bali amefedheheshwa tena mbele ya kadamnasi ya watu!, can you just imagine itakuwaje?!.

Kuna hiki kisa sijui kama ni cha kweli. ..kwenye kampeni fulani kuna mgombea mrefu alimtibua mgombea mwenzake mfupi, yule mfupi alikasirika sana hadi kuchukua gongo na kumtwanga nalokichwani yule mrefu akaanguka akazimia!.
Paskali
Wajameni hapa ni ninakumbushia tuu angalizo, kwenye mijadala mbalimbali huku kwenye mitandao ya kijamii kuna jamaa mmoja mfupi hivi anatajwa tajwa sana na kushutumiwa, kama kile kisa ni cha kweli, then hili ni angalizo tuu la hala hala!... acheni kumshutumu...
msije kusema hamkujua...
P
 
Back
Top Bottom