LAMBOFGOD
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 1,561
- 1,317
Je kuna ukweli katika msemo huu maarufu “Mungu anakusaidia na wewe unajisaidia” kwa tafiti zangu ni msemo uliojizolea sifa na kufahamika vizuri mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani kwa watu wa rika zote tangu mototo mwenye uelewa, vijana hata wazee. Cha kushangaza zaidi juu ya msemo huu ni kwamba applicability yake it’s only when someone is going on troubles. Pale mtu kakumbwa na majaribu au mapito kwa lugha ya watu wanaomtumainia Mungu, na maneno kama changamoto/challenge au magumu n.k kwa wasiobase kwenye Imani za dini yeyote ile. Nikienda mbali zaidi nakumbuka hata pale mjini Beijing msemo huu ulikuwa applied kuja na idea ya 50% 50%, however msemo huu unalenga zaidi pale mtu anapoona Mungu kachelewa kujibu ombi lake hivyo hushauriwa ajaribu the other way around kwa kutafuta msaada kwa mawitch doctor.
Karibuni wajuzi wa mambo wanaJF
Karibuni wajuzi wa mambo wanaJF