Je kuna uhusiano?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna uhusiano??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Sep 29, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Na rafiki yangu alinipa habari moja nikamsikiliza lakini nikawa na wasiwasi nikaona ngoja nije nii mwage hapa janvini!!
  Eti aliniambia eti ukiona mkeo anasisitiza safari yakwenda mahali wiki 2 kabla na kila siku anakukumbusha jua kuna walakini!!subiri siku ya hiyo safari ukiona kila mara anajiremba anvaa nguo mara aone azijamkaa jua iko namna!!chakufanya ukiona kamaliza kilakitu sasa anakuja kukuaga msikilize then umute chumbani!Kula uroda halafu mwambie safari njema basi unaona kanyong'onyea na saa ingine anaweza ghahili!!Basi ujue alikuwa anaenda kwenye mishe zake!!Je kuna ukweli juu ya hili??:glasses-nerdy:
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  kazi ipo!!!!
   
 3. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wasiwasi wako BroKiiza.. Labda awe ana tabia ya kutoka nje ya ndoa..
  Na hiyo sio dawa, hata ukila uroda usiku kucha na mchana kutwa... Kama ni tabia yake. Hawezi acha.
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma lakini jamaa alisema kwa mda ule kwani hawezi kupeleka mzigo ukiwa umeshachakachuliwa!!!Ndiyo dhumuni la msingi!!
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mmh ikioshwa mpya.........halua babu haina makombo!!
  apo ni kumwita na kumwambia mama nenda uendako bt NAKUPENDA then msome uson utaona anafil gilty
  au km vip mtress kaenda wap na usiku mfatilie
  bt kum do haaaaaaaaaaaa si issue ni mwendo wa bafun oga kidogo paka tena mafyu fyuuuuuuuuu afta half an hr kitu kinakuwa mma ready for the next user..............!!!!!!!!!!
  ZUNGUMZA NAE.TRIK KM IZI NI RAISI SANA KUZITENGUA
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Una experience ya kutosha kwahiyo ndio huwa unanifanyia hivyo?
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Kama umetembelea rim aziishi lazima uzima uwe unatoka kwa mbali kwa mtu kama mimi nitakujua hapa akuna chakusema ikipigwa maji mpya!!
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  thread nyingine jamani khaa.
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mama ulipotelea wapi
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  HAHAHAhahahaha finest.naona unawish ukutane na magumash.....waweza pata watu km ao usihofu watakuoshea tu na kukupa na ivi unapenda sana funua funua utawekea mizoga na spice kwa juu..........na utajiramba tu...........
  kakakiza kuna wataalamu wa wataalamu km wewe na wala hautajua my dear.......mh sjuii lakin......
  finest acha uchokoz kijana.................
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Nilichokijua wewe ndo mtaalam wao!!i wish................:tonguez:
   
 12. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #12
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sasa huyo jamaa lakini si anajua kuwa huyo ni mke wa mtu? so lazima akubali mzigo uliochakachuliwa........................... Hii labda akina Kaizer et al wazee wa INFIDELITY wanaweza wakalizungumzia vizuri
   
 13. K

  Kidboy Member

  #13
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kuna ukwel vile...
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hivi hamuoni haya kuongea maneno haya mbele za watoto si muende chumbani basi.
   
Loading...