Je kuna uhusiano wowote wa ac ya gari na ilaji wa mafuta?

dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
373
615
Kwa mda mrefu nimekuwa nikijiuliza, hivi ukiwaaha air condition husababisha gari kutumia mafuta zaidi kuliko usipowasha au,wajuz kujen hapa mdadavue kwa faida ya wanajamii forum
 
Yes, itakula zaidi kwa asimilia 8-15%. Ni logic nyepesi tu, kuwasha AC maana yake ni kuwasha compressor ambayo ni mzigo kwa ingini ya gari. Gari zote mjin zina AC lakini ni chache hufunga vioo sababu ya mafuta....., otherwise kila mtu angefunga vioo.

Njaa
 
Lakini kuendesha gari vioo wazi napo kunaifanya gari itumie mafuta mengi zaidi ya unapotumia Ac (aerodynamic drag).
 
Kama uko kwenye foleni au unatembea kwa spidi ndogo, mzigo wa compressor ya AC unaongeza ulaji wa mafuta.

Kwa upande mwingine, unapoendesha kwenye highway speeds, ukinzano unaotokana na upepo ukifungua madirisha utasababisha engine itumie nguvu kubwa zaidi na hivyo mafuta mengi zaidi kuliko kufunga madirisha na kuwasha AC.
 
Nimeipenda na inavutia
Nimekumbuka Wamakonde
Kusimama na kukaa sawa
Unapotea nchale wenyewe
Uamuzi ni wako pa kupigwa

Bazazi!
 
Baada ya kumsoma huyu chini njoo na swali tena!:)
Kama uko kwenye foleni au unatembea kwa spidi ndogo, mzigo wa compressor ya AC unaongeza ulaji wa mafuta.
Kwa upande mwingine, unapoendesha kwenye highway speeds, ukinzano unaotokana na upepo ukifungua madirisha utasababisha engine itumie nguvu kubwa zaidi na hivyo mafuta mengi zaidi kuliko kufunga madirisha na kuwasha AC.
 
Usimshangae yuko sahihi sana kwa asilimia 100. Kuna kitu kinaitwa drag force, upepo unaozuia gari kwenda mbele kutokana na speed yake kubwa. Drag Force huwa inakuwa kubwa kwa speed kubwa na hivyo kuifanya gari itumie mafuta mengi zaidi, kama umefungua vioo, kuliko kama ungekuwa umewasha AC. Nakisia kuwa kuanzia speed ya km 60 kwa saa, ni bora ukafunga vioo na kuwasha AC, utatumia mafuta kidogo zaidi kuliko ukifungua vioo halafu ukawa umezima AC!
 
Madini matupu,umenifungua macho zaidi
 
Madini matupu,umenifungua macho zaidi

Na wengi huwa wanatumia mafuta mengi huku na joto nalo pia likiwa linawatandika, wakidhani kuwa wana-save mafuta kumbe hapana. Ubahili kitu kibaya sana, huwa unakula hela mara mbili ya ile mtu alitarajia ku-save
 
Kama uko kwenye foleni au unatembea kwa spidi ndogo, mzigo wa compressor ya AC unaongeza ulaji wa mafuta.

Kwa upande mwingine, unapoendesha kwenye highway speeds, ukinzano unaotokana na upepo ukifungua madirisha utasababisha engine itumie nguvu kubwa zaidi na hivyo mafuta mengi zaidi kuliko kufunga madirisha na kuwasha AC.
Well said..
Niongeze kidogoo...
Wataalamu wa huko ulimwenguni, achana na hawa wa huku duniani, kuleee ulimwenguni magari yanapotengenezwa wanakuambia...ukiwa below 50kph..AC inakula mafuta zaidi..
Lakini ukiwa above 50kph, wanashauri ufunge vioo uwashe AC...hapo gari litakula mafuta vizuri.

This is the question of drag force.
 
Na wengi huwa wanatumia mafuta mengi huku na joto nalo pia likiwa linawatandika, wakidhani kuwa wana-save mafuta kumbe hapana. Ubahili kitu kibaya sana, huwa unakula hela mara mbili ya ile mtu alitarajia ku-save
unakuta mtu analazimisha gari we na AC akishafika anapunga upper🤣🤣
 
Lakini kuendesha gari vioo wazi napo kunaifanya gari itumie mafuta mengi zaidi ya unapotumia Ac (aerodynamic drag).
Kea safari za mjini drag ni neglible hata kwa masafa drag utaiona kuanzia spid 60km.hr nayo ulaji wake si sawa na kuwasha a.c
 
Subaru nikiwasha ac lita moja km 7.5 nikizima ac 9.5 hadi 10 bila foleni. Kwa mjini bora ushushe ac itakufilisi.
Sasa 7.5 -9.5 km/l unafilisika kivipi au ndo yale yale ya kujaza mafuta ya 10,000-15,000 unataka uzunguruke mji mzima?
 
Nimetumia hillo neno kuonyesha tofauti mfano subaru yangu nikiweka ya elfu 10 na AC mjini kukiwa na foleni ni km 25 bila folen km 32 bila AC kilometa 40, nikiweka mafuta ya laki na AC bila foleni napoteza kilometa 80, na foleni napoteza mpaka kilometa 95 kwa mafuta ya laki moja, tofauti ni kubwa sana.
 
Yes, itakula zaidi kwa asimilia 8-15%. Ni logic nyepesi tu, kuwasha AC maana yake ni kuwasha compressor ambayo ni mzigo kwa ingini ya gari. Gari zote mjin zina AC lakini ni chache hufunga vioo sababu ya mafuta....., otherwise kila mtu angefunga vioo.

Njaa
Wataalam pia wanasema kuendesha gari kwenye spidi kuanzia 60KPH madirisha yakiwa wazi ni bora kutumia AC kwani drag inaleta resistance na hivyo kufanya engine kuhitaji kani zaidi ili kumantain the pace.
 
Kwa magari ya automatic gear ukifungua vioo ukiwa unaendesha safari ndefu inakusaidia usisinzie, fresh air na upepo unakufanya uwe mchangamfu.
 
Na wengi huwa wanatumia mafuta mengi huku na joto nalo pia likiwa linawatandika, wakidhani kuwa wana-save mafuta kumbe hapana. Ubahili kitu kibaya sana, huwa unakula hela mara mbili ya ile mtu alitarajia ku-save
Kuna siku fulani nilikua nimetoka kituo cha mafuta gati ilikua inasumbua cylinder head kwaio ukiwasha A/C tu lazima ichemshe nimetia wese la 50,000 sababu ya jua kali nina sweat vibaya mno basi konda wa pembeni "alivyoniona akasema baba majqsho yote hayo kulikoni? Si umetoka sheli washa kiyoyozi hicho niliishia kucheka tu kilichofamnyika nilijichanga ku repair cylinder head sasa hivi ni full time a/c hata safari iwe buguruni kariakoo ni mwendo wa a/c foleni iwe ndefu kiasi gami haitembei ni full time a/c..ubahili hauna faida yoyote ile..wese la 55,000 full time a/c natumia siku 7 au 8..
 
Back
Top Bottom