Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,837
- 93,612
Ww naye ni GT? shamekipuuzi kwako sio kwa GTs
Ww naye ni GT? shamekipuuzi kwako sio kwa GTs
Turudi kwenye mada mkuu!Ww naye ni GT? shame
OkTurudi kwenye mada mkuu!
Kabla ya kuniita CCM ungesoma threads zangu zote kwanza...CCM akili zenu mzijua wenyewe, waliosaini mikataba ni TLS au viongozi wenu?
Ha ha haa...hata Lipumba anaweza kujitetea hivyo hivyo akitwa CCM.Kabla ya kuniita CCM ungesoma threads zangu zote kwanza...
kwani lipumba yumo humu JF?Ha ha haa...hata Lipumba anaweza kujitetea hivyo hivyo akitwa CCM.