Je kuna uhusiano wa Ushirikina na Siasa za Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna uhusiano wa Ushirikina na Siasa za Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwita Matteo, Apr 27, 2011.

 1. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tumekua tukisikia mengi kila cha guzi kuu zinapo karibia, ila kubwa zaidi ni lile la wanasiasa wengi, kwenda kupigiwa ramuli na waganga ili waweze kushinda nafasi walizo gombea. Wana majamii na wataalumu wa maswala ya siasa na anthropology ningeomba kusaidiwa haya yafuatayo;

  1. Kuna ushusiano gani kati ya Siasa na ushuirikina hasa katika nchi yetu na bara letu kwa ujumla

  2. Nini athari za ushirikina katika siasa na maendeleo ya nchi yetu?
  3. Je, ni kweli kuwa hao wanaopigiwa ramli hushinda kwa nguvu hizo au ni kwa nguvu za wananchi.

  Mwisho, baada ya uchambuzi wa kina mtakao utoa, nini kifanyike kama kuna Ubaya au Uzuri wa kuhusianisha Siasa na Ushirikina.


  Naomba kuwasilisha.
   
 2. Ng'wanapagi

  Ng'wanapagi JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2014
  Joined: Sep 18, 2013
  Messages: 6,772
  Likes Received: 3,453
  Trophy Points: 280
  Kipindi sijawekeza akili yangu kwenye siasa nilikuwa nasikia kila mgombea kuwa ana kamati ya ufundi kitu ambacho sikuelewa maana yake. Tunaelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa,wagombea wawili nafasi ya uenyekiti wa kijiji wamegongana kwa mganga wa jadi wote wakiwa na hitaji moja! Onyo: Kila uchaguzi mkuu unapokaribia ndugu zetu Albino huuwawa sana,huenda ni kwa sababu za ki sh enzi kama hizi. Tumuogope mungu kwani ni kheri tukajiandalia maisha peponi kuliko hapa duniani.
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2014
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,315
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  Mkuu sio kwenye kada za kisiasa tu hata kwenye kada nyingine za maisha kuna ushirikina uliokithiri

  Mfano mdogo tu ni ule ujio wa Babu wa Samunge yule mzee aliyewaaminisha watu kuwa ana dawa ya magonjwa sugu...

  Hebu fikiria ule umati wa Watanzania na wageni kutoka nje ulivyofurika kwa wingi kiasi hadi serikali yako isiyoamini mambo yoyote ya imani ikatoa ahadi kibao ikiwemo hata kuboresha barabara huko...
   
 4. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2014
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,528
  Likes Received: 16,504
  Trophy Points: 280
  Kaka kwani ulikuwa hulijui hilo?
   
 5. Ng'wanapagi

  Ng'wanapagi JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2014
  Joined: Sep 18, 2013
  Messages: 6,772
  Likes Received: 3,453
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa siamini kama ushirikina unaweza kunishawishi kuchagua bomu la kiongozi
   
 6. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2014
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,660
  Likes Received: 17,680
  Trophy Points: 280
  refers to the Rise and Fall of ZZK Empire
   
 7. manning

  manning JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2014
  Joined: Apr 1, 2013
  Messages: 3,514
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  ushirikina uko kila sehemu hata kwenye madhehebu ya dini , hasa madhehebu yanayoanzishwa kama uyoga kla sehemu nchini.
   
 8. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2014
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,528
  Likes Received: 16,504
  Trophy Points: 280
  Basi ndugu yangu kama si zaidi ya asilimia 90 ya viongozi wetu,nyakati za uchaguzi mshiko wao huamia kwa Madaktari hawa ili wawasaidie kupata ulaji.

  Ndiy inabidi tuwe waombaji sana wa Mungu ili atusaidie kuondokana na shida hii.
   
 9. V

  VictoriousYouth Member

  #9
  May 6, 2014
  Joined: Jan 16, 2014
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe huoni hata maendeleo hamna, coz viongozi wanapata izo nafac kwa njia zisizo sahihi...! The principle of success states "Real success is due to Hard-working, Strong faith to GOD, Effective time management assuming socio-economical factors (i.e financial, relationships, healthy etc.) are optimally held" ikienenda kwa vitu ivo vitatu utafanikiwa mafanikio ya kudumu yasiyo na masharti ya kijinga, vinginevyo ukitaka ulale uamke tajiri/successful utakutana na masharti kama lete pua ya albino, lete moyo wa mamaako/mtoto wako, lete ulimi wa mkeo n.k lkn pia hayo mafanikio hayadumu muda mrefu....!! Chagueni sasa ni nani mtakayemtumikia.
   
 10. mtwa mkulu

  mtwa mkulu JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2014
  Joined: Sep 11, 2013
  Messages: 2,318
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Wakuu habari gani???
  Leo naombeni mniambie kama kunaukweli wowote juu ya jambo hili. Mtaani kumekuwa na maneno kwamba kama so mshirikina basi siasa za nchi hii huto ziweza je upo ukweli??
  Amsheni mioyo iliyozimia kisiasa kwa kuhofu ushirikina!
  karibu
   
Loading...