Je kuna uhusiano kati ya ukubwa wa kishogo na uwezo wa akili?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Leo katika kijiwe kulikuwa na mjadala ya kwamba, ukubwa wa kishogo (kisogo) unasaidia kutambua uwezo wa akili aliyinayo mtu, hususani mtoto.
Moja ya wadau walidai ya kwamba, hata watoto wengi wenye mtindio wa ubongo (kutokana na kuzaliwa) hawana kishogo, yaani, hakuna tofauti kati ya shingo na kichwa. Je kuna ukweli wowote?
 
its not a guarantee,mi nakumbuka nikiwa nasoma primary,wenye vichogo virefu ndo walikuwa wakorofi na watundu zaidi....angalia mifano hai,,,,,,joti,pembe,kipepe.....
 
Akili inayozungumziwa hapa si kuwa "genius" bali uwezo wa kufikiri na kuamua mambo ya kawaida. Ile hali ya kutokuwa punguani
 
Back
Top Bottom