Baringongo
Member
- Dec 12, 2016
- 94
- 85
Ni upi uhusiano wa plug na ulaji wa mafuta katika gari?
Pia ni muda gani unapaswa kubadili plag.
Pia ni muda gani unapaswa kubadili plag.
Simple.Ni upi uhusiano wa plug na ulaji wa mafuta katika gari? Pia Ni muda gani unapaswa kubadili plag.
Ni upi uhusiano wa plug na ulaji wa mafuta katika gari?
Pia ni muda gani unapaswa kubadili plag.
Naomba kujua ni plug aina gani sahihi kwa Toyota Rav4 old model cc1990 kwa kuwa kuna zinazotumia pin nyembamba na hizi tulizozizoea za kawaidaImbalance yoyote kwenye engine inaweza kupelekea gari kula mafuta.
Nikisema imbalance nazungumzia kitu chochote ambacho kitapelekea engine yako kuzalisha nguvu kidogo kuliko ile iliyokusudiwa.
Engine ina mechanism moja tu ya kucompesate nguvu iliyopungua. Ambapo ni kuongeza kiasi cha mafuta kinachotakiwa kuunguzwa kwa kuziacha nozzle wazi kwa muda mrefu zaidi kuliko kawaida.
Plug zikichoka zinapelekea mafuta yasiungue vizuri na hivyo gari kukosa nguvu. Compesation lazima mafuta zaidi yachomwe ili kufidia.
Nadhani nimeeleweka.
Naomba kujua ni plug aina gani sahihi kwa Toyota Rav4 old model cc1990 kwa kuwa kuna zinazotumia pin nyembamba na hizi tulizozizoea za kawaida
Asante broPlug za sindano ni special kwa ajili ya performance engines. Una engine V6, V8 weka sindano pia engine zenye turbo.
Engine za kawaida zinafunga plug za kawaida. Huo ndio uhalisia.
3s fe inafunga Denso PK20TR11
lkn tip kujaa uchafu au plug kujaa uchafu husababishwa na vitu vingi..plug zinaweza zikawa mpya au mda wakubadilishwa haujafika lkn ukaziona zimechoka kwa mfano air clener ikiwa chafu..valve seal zikiwa majanga kwa namna yoyote ile oil ikawa inaingia kwenye chemberPlugs zinabadilishwa kwa km, zipo plugs zinaenda hadi km30,000. Pia unaweza kukagua physically ukaona zishaanza kurusha Moto pembeni(duh lugha za mafundi hizi), au unakuta ile tip imejaa uchafu etc
Oil kuingia kwenye chamber zilipo plug ndio kunaua plug pre-maturely hili tatizo na deal nalo mara kwa mara! Sababu ya top cover gasket kufeli! Hivyo kila nikibadili plugs lazma nihakikishe top cover gasket iko sawa!lkn tip kujaa uchafu au plug kujaa uchafu husababishwa na vitu vingi..plug zinaweza zikawa mpya au mda wakubadilishwa haujafika lkn ukaziona zimechoka kwa mfano air clener ikiwa chafu..valve seal zikiwa majanga kwa namna yoyote ile oil ikawa inaingia kwenye chember
mkuu kuuliza sio ujinga , hivi impreza dashboard yake eti haineshi temperature ... ?Oil kuingia kwenye chamber zilipo plug ndio kunaua plug pre-maturely hili tatizo na deal nalo mara kwa mara! Sababu ya top cover gasket kufeli! Hivyo kila nikibadili plugs lazma nihakikishe top cover gasket iko sawa!
Impreza sijaifuatilia mkuu sio uongomkuu kuuliza sio ujinga , hivi impreza dashboard yake eti haineshi temperature ... ?
niliitumia jana nikawa naangalia dashboard yake naona ina rpm , speed na mafuta nikawa nawaza inakuwaje make temperature alert ni muhimu sanaImpreza sijaifuatilia mkuu sio uongo
Yeah ila itakuwepo lazma pengine inasoma kwenye ni digital screenniliitumia jana nikawa naangalia dashboard yake naona ina rpm , speed na mafuta nikawa nawaza inakuwaje make temperature alert ni muhimu sana
labda inawaka taa automatically kama haiko sawaYeah ila itakuwepo lazma
Wengine wanasema plug imejinyea.Plugs zinabadilishwa kwa km, zipo plugs zinaenda hadi km30,000. Pia unaweza kukagua physically ukaona zishaanza kurusha Moto pembeni(duh lugha za mafundi hizi), au unakuta ile tip imejaa uchafu etc
Yeahlabda inawaka taa automatically kama haiko sawa
shukraniYeah